Hakuna kinachoshindikana, sema kuna class flan ya watu itabidi walipie kupitia kodi. Nigeria wana internship scheme ambayo graduate yeyote irrispective of the discipline lazima afanye internship ili kulink shule na ukweli, lazima userve kidogo serikalin au private ili ujue kazi, serikali inalipia fedha kidogo za kuishi kwa muda huo. Yan hii ccm ingeweka siasa pembeni kuna watu wanaweza kumodell hiyo project na wananchi wakalipia bila kujua wala kulalamika as long long as watu wanajua wanafanya nin.