Kaoa mke mwenye mtoto: kizaaza

Kaoa mke mwenye mtoto: kizaaza

Siku nyingine usijifanye msomi kwa kuandika hiki kiingereza cha ugoko humu kuna wasomi kuliko u avyofikiria na bado huwa wanaandika kiswahili pili kama hautajari nipatie namba ya huyo bint wa mkeo nikusaidie kumkanya
 
Huyo mume anaishi kwenye nyumba ya mkewe au mke na watoto wako katika nyumba yake? Kama ni nyumba yake lazima kuwe na utii kutoka kwa watoto. Waongee na mkewe jinsi ya kuwapa watoto malezi bora kwa pamoja maana ni familia moja sasa.
 
hii kitu yataka moyo, utaambiwa waliachana na mzazi mwenzie mara siku anajichanganya kutuma sms anaandika kwako [ nakuheshimu mume wangu japo tuligombana ila nilikupenda ndio maana nikakuzalia mtoto ]
 
hii lugha waachie wenyewe mkuu duu ndiyo maana magu ni mkuu wa nchi na ana PhD ila lugha inasumbua ungeandika tuu kwa lugha ya mama au ndiyo bit kungolea madem jf maana wanaume nyinyi wa Dar ndiyo gear zenu
ahaaaaaa mbavu zangu bora kiiingereza cha idd amin kwa sababu hakuwa na phd. Siku moja kwenye kmutano akasema

"my plane flied from ka-mat to en-chair" maana yake from kakyeka airport to entebbe airport
Kakyeka ni uwanja wa ndege wa mbarara.

So kakyeka kwa kuruga kinyankore means mat, entebbe means chair.
 
Kwanza pole sana, Pili weka kikao wewe na huyo mke wako na watoto wake, umwambie kama hata wakanya watoto wake wakawa na adabu juu yako, na kufata sharia za nyumbani kwako wahame waende kwa baba yao, kama hawana baba mwambie mkeo kama anashindwa kuwafunza adabu ajipange kuondoka nyumbani kwako, ONGEA KIUME, Unadhani watoto utakaozaa na huyo mama wataiga tabia gani?? kwanza ujue ushakosea kuoa huyo mwanamke, mana mama gani anashindwa na malezi watoto wanaharibika kwenye mikono yake na haongei kitu, huyo hufai hata kuzaa nae labda ujiandae na familia ya ovyoooo kabsaa, kiufupi muache tu kama atashindwa kujirekebisha ni aibu, utajipa stress ufe bure, nyumbani ndio sehem ya furaha kila siku unakuta karaha, aaaaaghhh.
 
Salam a friend need advice..plz
..anasema he married a Woman
whom already have kids and he love
both of them...the kids and their
mum but the problem is these kids
hawana adabu kabisa...kama.kuna
bint ye aja kuchelewa na akimuuliza
usiku huu watoka api mtoto wakike
mama yuwakasirika na mtoto nae
yuwamjibu your not my dad ....you
cant tell me anything I can do
whatever I want na pia wale wadogo
zake pia kama kumetokea mshkil
akijaribu wakanya wanaamtusi cha
ajabu pia mama hawakatazi ...hivi
amekua hana say pale ndani
...nastaki kupeana talaka je
nifanyaje?
Mara kiingereza mara kiswahili,jivunie lugha yako,KABURI HALITAKI MBWEBWE NDO MAANA HALIWEKI AC.
 
Wewe ni mwalimu kweli? Na hicho ndo kiinglish unachofundishana na wanafunz wako?
 
Mkuu unalisha Familia???
Hapo mnapoishi ni kwa nani?? kama mmepanga, ni wewe unalipa kodi??

Kama ni wewe ndio mwenye majukumu yote ya kifamilia fanya hivi-
a) mwambie mkeo achague watoto au wewe (awapeleke anakokujua yeye lakini wasikae hapo)
b) kama (a) ni ngumu siku amka na uso wa mbuzi tembeza kichapo kila kosa linapotendeka, mama yao akiingilia kati mtembezee na yeye. Hakikisha hucheki na kima. Hii ilimsaidia kaka yangu sana, baba mwenye watoto aliamua kuchukua watoto wake kuepusha shari. (Muhimu uwe Afrika na si Europe).
 
Khaaah! Alafu unajiita mwalimu s! Katika jina la Magu! naomba urudi shule ukajifunze mwandiko! Eboh!!
 
Ungetoa Point zako kwenye mada sio kumjadili mtoa mada,sometymz watu wengine ni manyumbu cjui kila kitu mna criticize.
 
Back
Top Bottom