Recent content by dont trust any 1

  1. dont trust any 1

    JamiiForums Tanzania Kauziwa rice cooker Tsh. 300,000 na Waturuki, kaikuta inauzwa Tsh. 140,000 Mlimani City. Anawaza amalizie hela yao ama?

    Walikuja kazini wakakopesha blander zinatwa silver crest kwa laki tatu mm nikasema hapana, nikaja zunguka madukani bei halisi ni 130000 na sasa hv zimeshuka hadi 75
  2. dont trust any 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

    Nyi wanawake sijui hata mufanyweje, mkipewa hela na huduma mnataka muda, mkipewa muda mnataka hela, na vyote viwili kwa pamoja haiwezekani. Nakushauri tu kama anakuhudumia, hakudharau, anakuonesha heshima basi ridhika. Hayo maamuz magumu utakuja lia baadae
  3. dont trust any 1

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayejitolea kukumbatia Watoto Njiti waliotelekezwa Hospitali ya Amana

    Haya mambo hayajawakuta ila kiukweli wife alizaa njiti na sasa ana miez sita shida ya kumkuza huyo mtoto hadi kufikia uzito unaotakiwa inahitaji moyo wa pekee iwapo sio mwanawe. Kwa ufupi huyo mama anahotaji pongezi
  4. dont trust any 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Me 24/08/ A Ke 13/06/M
  5. dont trust any 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi: Bodaboda wa Mke wangu

    Hatma ya dada wa kazi je? Ameondoka au bado yupo?
  6. dont trust any 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Kila wakati nachungulia hatimae wa mwanzo kusoma episode hii Sent from my INE-LX1 using JamiiForums mobile app
  7. dont trust any 1

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Nikalale mie Sent from my INE-LX1 using JamiiForums mobile app
  8. dont trust any 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Akikupa nitumie na mm kaka Sent from my INE-LX1 using JamiiForums mobile app
  9. dont trust any 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Ok nasbr
  10. dont trust any 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Nipe link kaka na mm ninunue au nitumie hiko cha kwako
  11. dont trust any 1

    JamiiForums Tanzania Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    ?
  12. dont trust any 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Link tafadhali mwenye nayo
  13. dont trust any 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Naomba link wakuu
  14. dont trust any 1

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Hata Mimi pia sioni naomba msaada
  15. dont trust any 1

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Broo mbona video kwangu hazifunguki
Back
Top Bottom