SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,278
- 3,565
Nimemaliza UE wadau mdaaa wa kuingia mtaani kisawasawa [emoji58][emoji3060]
Na wewe unapita hukuuNo usingizi
Hongera dogoNimemaliza UE wadau mdaaa wa kuingia mtaani kisawasawa [emoji58][emoji3060]View attachment 2514155
Asante mkuuHongera dogo
Siku yenyewe usingizi, uliparama.Na wewe unapita hukuu
Hupoiiiii
Kasikilize album ya get rich or die trying by 50 cent niggaSiku yenyewe usingizi, uliparama.
We wenzio ulikua unachat nao wamekula ban 😂😬Kasikilize album ya get rich or die trying by 50 cent nigga
Hapa itabidi niipakue, uchawi bando mzee. Kuna ngoma zaidi ya 15+ mule...Kasikilize album ya get rich or die trying by 50 cent nigga
Hatari Kuna ngoma za kwenda mle, lakini pia album ya mwaka jana ya Eminem inaitwa behind the curtainsHapa itabidi niipakue, uchawi bando mzee. Kuna ngoma zaidi ya 15+ mule...
Nikiipakua alfajiri hii hapa.
Hii sijaiaikiliza kabisa, siku hizi sifatili mziki kama zamaniHatari Kuna ngoma za kwenda mle, lakini pia album ya mwaka jana ya Eminem inaitwa behind the curtains
Kweli mzee mambo ni mengi, hata mi sikuizi nasikiliza ngoma za kitambo tu za kina bigi smalls Kama suicide thought, tupac na Eminem hizi mpya kichwa kinasizi Sana kutafakariHi
Hii sijaiaikiliza kabisa, siku hizi sifatili mziki kama zamani