Kutoka "semen" ina maana ushaathirika na iyo kitu. Fanya mazoezi sana, usipende kukaa muda mwingi bafuni wakati wa kuoga. Usipende kukaa peke yako, muda mwingi jichanganye na wenzio mpige stori. Usiangalie pornography na uwe serious, baada ya muda utaona!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.