Kwa hisani ya falconMombasa.
Nchi yoyote inatakayoongozwa na rais
mwenye kipara/baldin/uwaraza lazima
nchi hiyo ipatwe na mabalaa kama
ukame,vurugu,majanga ya mafuriko
makubwa na umwajikaji damu kwa
wingi,... basi martine luther alipomaliza
kutoa kauli hii watu wenye vipara
walimpiga jiwe huko chicago mwaka 1967.
Sasa turudi kwenye mifano ya nchi
zilizotawaliwa/zinazotawaliwa na marais
wenye vipara 1.omar al bashir wa sudan
nadhani nyinyi wenyewe ni mashahidi
2.yoweri museveni nadhani mnaweza
kujiridhisha hali ilivyo kwa uganda waasi
hawaishi na mauaji ya wanasiasa hayaishi
3.mwai kibaki nadhani mtukumbuka jinsi
kenya ilivyopitia wakati wa umwagaji
damu mkubwa na njaa kali kabisa kiasi
cha hata mifugo kukosa chakula 4.jacob
zuma nadhani nyinyi wenyewe mnajua
kilichowapata ndugu zetu kule,pia
imekuwa nchi ya pili duniani kwa uhalifu
baada ya afghanstan 5.bejamin mkapa
nadhani watanzania wengi haeatasahau
mvua za el ninyo na mauaji ya zanzibar pia
mauaji ya mwembe chai ni kipindi
ambacho nchi ilimwaga damu kwelikweli
huku njaa ikiongezeka na hata takwimu za
magonjwa zilijuwa juu kabisa,ajalu ya
treni,meli ya mv bukoba, nakadhalika
Watanzania ikifika october 25 nyie ndio
wakuamua mnataka kulipeleka taifa
kwenye taabu au raha