uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,216
- 788
dk hawezi kumjibu gwajima never
gwajima alituonesha namna slaa alivyoachana na kanisa na kuamua kuzaa akiwa bado padri....na kuamua kuishi na hawara mke wa mtu...kwa hiyo slaa hana hofu ya mungu
Watakaonufaika na mapambano haya ni wanasiasa tu, lakini kwa upande wa kiimani, Gwajima anaizika huduma yake. Tayari wakristo wa kweli wameshajitenga na mipasho yake.
Eti Gwajoo naye ni Dr? Hahaha..we lazima utakuwa sista Flora
Kuna tetesi kuwa huenda Dr Slaa akaibuka wiki ijayo kumjibu askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Dr Slaa anamtuhumu mtumishi huyo wa Mungu kumleta Laigwanan Lowassa ndani ya UKAWA hivyo kumnyima fursa ya kugombea urais kupitia muungano huo wa vyama vya siasa.
Majibu ya Dr Slaa yanakuja baada ya kimya cha muda mrefu tangu askofu Gwajima alipoanika hadharani ukweli kuhusu Dr Slaa kustaafu siasa. Inadaiwa kwamba Dr Slaa amechukua muda mrefu kwa kuwa kwanza alikuwa akitafuta bomu kali la kuja kulipua.
Kwa sasa Dr Slaa yupo nchini Marekani akipumzika na mchumba wake Josephine Mushumbushi.
Awali askofu Gwajima alitahadhalisha kwamba atalipua bomu kali sana endapo Dr Slaa atajitokeza hadharani kumjibu. Haifahamiki mwanasiasa huyo mstaafu amejiandaa kiasi gani kupangua hoja za Gwajima ambazo zina ushahidi wa kutosha. Ni suala la kusubiri na kuona jinsi alivyojiandaa kujibu hoja.
MAONI YANGU
Naomba watanzania wenzangu tutulize mawazo yetu kwenye kampeni; tusiyumbishwe kamwe.
:yield:
Wewe ndo yule Rachel mdogowake Flo?Kha! Unashangaa Gwajima kuwa Dr...? Kumbe humfahamu kbs... Sasa nakushangaa unawezaje kucoment kwa mbwembwe juu ya mtu usiyemfahamu? Zuzu
tunaanza mojaaa.... Zogo linarudi tena. Dooh..!!
Hivi ni mchumba au Mke?
Hakuna dini ya Yesu au Mohamed inayoruhusu mtu "mwanaume" na mtu "Mwanamke" kuishi (kulala) pamoja bila ndoa. Huo ni uzinifu na chukizo kwa Mungu.
Hivyo Dr. Slaa alisha kengeuka anavunja amri ya sita kwa macho makavu na CCM wanamshabikia. Siku ya kiama atapata adhabu yake yeye na wanaomshabikia ujinga asipotubu dhambi hiyo.
Sifa ya uchumba ni kila mtu akae kwao pasipo "kubadilishana uzoefu" mpaka baada ya ndoa.
gwajima alituonesha namna slaa alivyoachana na kanisa na kuamua kuzaa akiwa bado padri....na kuamua kuishi na hawara mke wa mtu...kwa hiyo slaa hana hofu ya mungu
endelezeni dhihaka zenu....Mungu anazisikia pia
Mungu wa CCM? MUNGU hataki watu waongo ongo kama Dr. Mihogo
miezi kama mitatu iliyoputa ndio alikuwa rais wako wa moyo....endelea kubadilika kama kinyonga kila mwezi
Gwajima kwa nini unalitukanisha jina la Kristo,please keep quiet.Kahubiri kanisani na kuwafundisha neno la Mungu waumini wako kama kweli wewe ni mtumishi wa Mungu.You are wasting time kwa kuendelea kupeana mipasho na wana siasa.Wewe kama kweli umeokoka ni mwana wa Mungu,hao sio size yako.
Gwajima sio kiongoz wa kiroho
Haana maadili ya kuwa askofu
mm namuona n mrevi fulan tu