Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
AMA kweli nimeamini sisi wapumbavu. Na malofa yaani tunamshabikia mgombea anapiga push ups !! Yaani wakati Tanzania inazidi kuporomoka ! USA wametunyima msaada wa GMG, kwa sababu ya huyo mnayemshabikia kupiga push-ups. Ameiba hela za barabara, hivi mnajua athari watu wetu watakayopata kwa KUKOSA msaada huo ? Ama kweli wakati mwingine naujutia Utanzania WANGU
hata barabara zilizoandikwa kwa msaada wa watu wa amerika kapiga dili ndio maana tukanyimwa tulichoomba
 
kula like mkuu.
hilo ndilo gonjwa kubwa linalotukabili

Magufuli amwogope mungu kunyanyapaa afya za wengine. Yule mwanaye aliyekufa bado mdogo Na kumuacha yeye mzee alijua atatangulia kufa? Beza mengine afya ya MTU acha! Wagonjwa Na walemavu tunaumia sana
 
Hana washauri wazuri! Kama akina Abdallah Bulembo ndo washauri,kuna siku atavua hadi suruali kuonesha kuwa yeye ni mwanaume baada ya kusikia mbona mke wako hatumuuoni kwenye kampeni?

Co bure umevurugwa was washauli wa ukawa kama akina gwajima wanaoacha misingi ya dini,,,na kina sumaye walioka madarakani miaka 10 aibu chama hskina washauri poor ukawa
 
Sasa na wewe unaulizia IQ vp wakati mtu amekuwa waziri kwa miaka 15 na ana phd lakini hajui Saddam alikuwa rais wa wapi. Kwanza huyu jamaa inaonekana anatudanganyaga mambo mengi sana
 
Mkuu JokaKuu, para yako ya mwisho imenigusa sana - Mh.Magufuli akipata asilimia 70+ basi akae akijua kwamba Watanzania wamempa kibali/mtiani wa kushughulikia suala sugu la rushwa nchini, akiona vipi i.e wenzake wanamkwamisha hasitekeleze kazi yake ipasavyo hasa RUSHWA basi yeye kama muhungwana atapashwa ku-resign ili Taifa litishe uchaguzi upya, na huo ndio utakuwa mwisho wa CCM, na hili likitokea mimi sitakaa tena humu kutetea CCM na Serikali yake ntajua hawana nia thabiti ya kujirudi kimadili.

Rushwa ni sehemu ya CCM, kupiga vita rushwa ni kupiga vita CCM na viongozi wake kitu ambacho hakiyakaa kitokee.
 
Ki uhakisia ikulu hatuend kupambanisha mabondia Bali tunahitaji kiongoz makin atayesimamia ilani n mahitaji y watanzania. Comedy stop
 
Hahaaaaaaa tumekua chini ya amri jeshi dhaifu kabisa kwa miaka kumi sasa, na tumevuka natumai hata lowasa nae ataweza kutuvusha
 
Hakuna minong'ono, ni ukweli, tazama:



Huyo King Msukuma na propaganda za kijinga...

Nimefuatilia Sana juu yaa hili..UKWELI NI KUWA ALIKUA ANASAFIRI KWA BARABARA AKASIMAMA KWENYE KIJIJI KUCHIMBA DAWA....TENA HAJA NDOGO.....HIVI WATU WALITAKA MZEE WA MIAKA 63 ...GARI LISIMAME PORINI NA YEYE ASIMAME HADHARANI AKOJOE ....INGEONEKANA PICHA YA MGOMBEA URAIS ANAKOJOA HADHARANI ...NA HII MGOMBEA ANAENDA MALIWATO IPI INGEAKUA MBAAYA ??????

Kwenye Nchi nyingine kampeni team zinakuwa na ABLUTION VEHICLE ..yaani ni GARI ambapo MGOMBEA anaweza kuingia na kupata mahitaji yote muhimu ya kiasili ..Kama kuoga..HAJA zake ..kubadili nguo ..na Hata kulala kidogo ....au kuna mabasi maalum ambayo yana ..choo ..changing room ...office ..meeting area ..na chakula ..etc ...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nasikia mtwara kajikojolea
Baada ya kusikia maoni ya wananchi kupitia utafiti wa twaweza

Ukubwa wa kichwa si akili. Hivi mnadhani hizi lugha zenu zinawaongezea kura?
Mnapoteza hata kile kidogo mlicho nacho msipojiangalia.
Nyinyi mnatukana lakini sisi tunauza sera tu hapa mwisho wananchi wanaamua. Mtaumia sana ila msije jificha kwenye ukweli.
Hizi tafiti za January Makamba mumejenga imani kubwa zitawachanga sana mwisho
 
Huyo King Msukuma na propaganda za kijinga...

Nimefuatilia Sana juu yaa hili..UKWELI NI KUWA ALIKUA ANASAFIRI KWA BARABARA AKASIMAMA KWENYE KIJIJI KUCHIMBA DAWA....TENA HAJA NDOGO.....HIVI WATU WALITAKA MZEE WA MIAKA 63 ...GARI LISIMAME PORINI NA YEYE ASIMAME HADHARANI AKOJOE ....INGEONEKANA PICHA YA MGOMBEA URAIS ANAKOJOA HADHARANI ...NA HII MGOMBEA ANAENDA MALIWATO IPI INGEAKUA MBAAYA ??????

Kwenye Nchi nyingine kampeni team zinakuwa na ABLUTION VEHICLE ..yaani ni GARI ambapo MGOMBEA anaweza kuingia na kupata mahitaji yote muhimu ya kiasili ..Kama kuoga..HAJA zake ..kubadili nguo ..na Hata kulala kidogo ....au kuna mabasi maalum ambayo yana ..choo ..changing room ...office ..meeting area ..na chakula ..etc ...

Ngoja tuingie ikulu, sijui ataficha wapi uso wake?
 
Mkuu ukijiunga ukawa unamkabidhi mbowe akili yako
Ole wako uulize kitu chochote
Utaitwa msaliti

Ajira bora kwa vijana imeishia wapi?
au ni kuokota makopo na kubeti?
ukitaka kujua tatizo la ajira ni pale serikali ilipotangaza nafasi 70 Lakini vijana elufu 11000+
 
hivi wakati mamvi anaenda tandale alikua anafanya nini?? kama sio maigizo??

Wambieni wananchi mumefanya nini katika ilani ya 2010 na sasa mnataka kufanya nini badala ya kujipambanua kwa kejeli na matusi pamoja na mipasho tu.
Watu wanataka Sera mnashindwa na Hashimu Rungwe jamani.
 

Attachments

  • 1442210857194.jpg
    1442210857194.jpg
    16 KB · Views: 106
Hivi kuwa ccm ni akili?
ikiwa ni zaidi ya miaka 53 leo na hamna mnachojisifia kuwa mumefanya kuna haja ya kuendelea kushabikia ccm?

Hivi ni kweli miaka 53 CCM haijafanya kitu!!Wakati imekuwezesha hata wewe kujua kusoma na kuandika,ebu jaribu kuwa mtu wa shukrani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom