Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

ccm inapendwa sana mpaka vijijini, malori hayo ni kwa sababu ya upatikanaji wa usafiri maeneo ya vijijini. Ukawa mpo mijini tu na mijini kwenyewe nyomi zenu mnanunua watu. Tafiti zikitoa ukweli mlalama tu.

Tafiti ipi hiyo yenye ukweli mkuu? Ile ambayo jumla la asilimia ni 102%?
 
Kwani ni lazima yatumike yaleyale?Na unataka kuongopa kwamba lazima wabebwe watu walewale?Kwa uzi huu unataka kumwambia nani kuwa huwa haoni wanavyosomba watu na malori?Vipi,malori hayana speed kali mnapendelea mabasi new model au chopa?:thumbdown::thumbdown:😀😀

Yutono mkuu 😀
 
Na ikumbukwe mikutano karibu yote inafanyika makao makuu ya mikoa na wilaya. Je kuwaleta watu wa vijjn kumsikiliza mgombea wao kina kosa gani?
 
kumbe ndio maana umati wa watu kwenye mikutano ya ccm wanakuwaga hawana raha wanawaza kuachwa na malori,kweli ccm wanatumia nguvu nyingi kuonesha wanakubalika kumbe hamna tarehe 25 wataaibika kweli kweli pesa zao tunakula na hatuwapi kura.kura kwa ukawa na lowasa tuuuuu
 
Kila jimbo na malori yake yaliyokodiwa
Daah!! Mkuu hayo malori yatakuwa ya mwendo kasi.

Mfano CCM wefanya mikutano saba Mwanza saa 6 Ilemela, saa 7 Misungwi, saa 8 Nyanguge, saa 10 Igoma, saa 11 Magu.

Hayo malori yanakwenda mwendo gani kupeleka watu mikutanoni?
 
wacha uongo wewe, unataka kusema kila mkutano mnatumia lisaa limoja? fiesta yenu pekee yake inachukuwa masaa mawili.
 
wana jf kuna mda nilitoa habari hapa huku mtowambu magufuli kazomewa tumepigwa mabomu ila waliutoa huzi hule mapema sana
Tulipakiwa na mafuso mpaka Arusha mjini tulikuwa na fuso nne moja ilipata hitilafu kidogo wananchi walituzomea sana
 
Attachments

  • 1444139461528.jpg
    1444139461528.jpg
    35.9 KB · Views: 437
Nilitarajia wangefanya tu haya.ccm ni ile ile,ooh ni ile ile.
 
Poleni sana.Ila Mbeya bado ni waalimu wenu
 
wana jf kuna mda nilitoa habari hapa huku mtowambu magufuli kazomewa tumepigwa mabomu ila waliutoa huzi hule mapema sana
Tulipakiwa na mafuso mpaka Arusha mjini tulikuwa na fuso nne moja ilipata hitilafu kidogo wananchi walituzomea sana

vipi amezomewa kuzidi alivyozomewa mbeya?
 
huu usafirishaji wa ccm kama wangekuwa ukawa tayari polisi wangeshapiga marufuku...
 
poleni kwa kuzomewa na msipoangalia hata kwenye box la kura mtazomewa hivyohivyo jirekebisheni
 
Back
Top Bottom