Kama hujawahi kupata 'supplementary'...

Kama hujawahi kupata 'supplementary'...

Wewe ----- tena boya kabisa. Unaona kufeli ni sifa. Ishu siyo kufeli au kufaulu, ishu ni hiyo elimu baada ya kumaliza imekusaidiaje kupambana na maisha
 
Kweli Lowassa aingie madarakani elimu yetu ipate thamani Yani kufeli kupata below 40 or 50 (kwa baadhi ya vyuo) unaona ni sifa Yani umekomaa.. Kweli elimu elimu elimu
 
We kilaza acha kujisifia umeshindwa kupata 40 ya 100 unajiita mpambanaji
 
Angetoa source ya information yake eidha kisayansi au vinginevyo,,,sio kuleta uzi sijui umetoa wapi iyo itakua facebook!
 
Back
Top Bottom