huyu kocha kuna namna anashindwa kuipanga timu yake, ni kama hajui yupi anafaa wapi......
angalia namna anamtumia chiessa, wirtz, hugo, szobo.....
badala ya 433 yeye kaja na mfumo wake wa ajabu,.....
best mido wetu ni szobo, yeye anamtumia rb, kwanini hataki kujaribu front 3 ya hugo, wirtz na...