Recent content by donata fredy

  1. donata fredy

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

    Ha ha haa. Naona umeandika kwa jaziba sana. Me sikubaliani na uuzwaji na matumizi ya madawa ya kulevya. Ila kwa wanao taka kutokomeza hili naona kama wanatafuta KIKI tu
  2. donata fredy

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

    Alikamatwa mtu mmoja anaitwa Shkuba, huyu alikuwa bwana unga ambaye hata FBI walimfahamu. Na alipokamatwa alikabidhiwa haraka kwa FBI. Ilikuwa vita kati ya Polisi dhidi ya Polisi. Ni tukio la mwaka mmoja tu uliopita. Unaweza kusema hiyo ilikuwa hatua kubwa kwa kikosi kazi kilichoongozwa na...
  3. donata fredy

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mchicha

    Morning rafk zangu.habari ya jumapili. Leo naomba niingie kwenye kilimo cha mchicha na faida zake. Mchicha ni mojawapo ya mboga za asili ambayo hulimwa katika mikoa yote hapa nchini. Mboga hii ina vitamin A, C, na madini aina ya chokaa na chuma kwa wingi Majani ya mchicha huliwa baada ya...
  4. donata fredy

    JamiiForums Tanzania Matunzo sahihi ya nguruwe Aliye zaa

    Kwanza watoto wa nguruwe wanapozaliwa siku ya kwanza mpaka ya tatu wanatakiwa wachomwe iron mara moja then wakimaliza wiki moja wanatakiwa wachomwe Gentaject pamoja na introvite hizo ni antibiotic na vitamin ambazo chanjo ya kutetemeka Kwa wafugaji zingatia hilo
  5. donata fredy

    JamiiForums Tanzania Dunia ina Umri gani? Mabillioni, Mamillioni, Malaki au Maelfu?

    Mada hii nakumbuka niliianzisha ktk group la shule lakn waliipotezea. Mimi naamini Evolutionists kwa sababu. Natamani sana nitoe sababu ya kuamini
  6. donata fredy

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yawe mapya

    Kikwete alisema maneno haya kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wakati akizungumzia mambo anayokusudia kuyafanya akiwa mkuu mpya wa taasisi hiyo. Nanukuu [emoji40] “Unapokuwa mpya ni lazima watu waone kuna mambo mapya. Lakini mapya ya maendeleo,”...
  7. donata fredy

    JamiiForums Tanzania Fursa zipo ila sisi hatuzitumii ipasavyo

    ifahamike kwamba, ufugaji na kilimo ni uwekezaji mzuri hasa kwa wakulima wenye mashamba madogo na hata yule mkazi wa mjini ambaye anaweza kulitumia eneo lake la uwani kufuga. Ifahamike pia kwamba, ukulima ni sawa na biashara na biashara nzuri lazima iwe na mpangilio mzuri hasa kwa matumizi ya...
  8. donata fredy

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    Hongera sana. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
  9. donata fredy

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna mpinzani atakayekanyaga kwenye serikali yangu

    Utafungwa wewe. Shaur yako. Oooh
  10. donata fredy

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    FAIDA ZA UFUGAJI WA KUKU KWA NJIA YA KIENYEJI Kuku huleta faida kwa jamii. Zaidi ya hayo, ufugaji wa kuku na nguruwe waweza kuimarishwa pasipo gharama nyingi ukilinganisha na mifugo wengine. · Hutupatia fedha kwa kuuza nyama na mayai · Mayai ni chakula kilicho na madini muhimu na kisicho...
  11. donata fredy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binamu Nyama ya Hamu..

    Mmh una roho mbaya wewe. Mara moja tu
  12. donata fredy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True story: Mimi na Sophia

    [emoji28] [emoji1]
  13. donata fredy

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    Hapana sikuwa na maana ya kwamba idadi ya kuku wote. Nina kuku specially nimewatenga kupata hayo mayai. Kuku wangu mmoja ana uwezo wa kutaga mayai hadi 18. Na wako ambao wanataga mayai hawalalii Hizo tray 3 ni kwa ajiri ya kupata kuku tu ( vifaranga) na
Back
Top Bottom