Recent content by Don njinji

  1. Don njinji

    Why a woman lose interest in a man

    Yote hayo halafu mwanamke anatoa nini???
  2. Don njinji

    Nusuru ndoa yangu

    Tafuta vijana wa kazi wakaibe lila kitu kwenye hilo duka..ndio ushauri wangu. Tafuta vijana wa kazi wakaibe kila kitu kwenye hilo duka...na usitoe mtaji tena kufungua biashara nyingine.ndio ushauri wangu
  3. Don njinji

    Lijishangazi au kademu, nimuoe nani?

    Nimecheka kama fala... daah mkuu umemjibu kikatili sana....ha ha ha eti wamalizie uzee
  4. Don njinji

    DSTV muda sio mrefu tutawaacha mazima

    Na mimi nasubir jibu
  5. Don njinji

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Mwenye kujua bei ya perfume iitwayo JAZZ na wapi naweza ipata ile yenyewe kabisa msaada pls!!
  6. Don njinji

    Mihemko imeamua tukio

    Ukiipata itupiamo na humu mkuu
  7. Don njinji

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu wewe ni Mimi kabisa sema wengine kusimulia hatuwezi....all in all umetisha boss
  8. Don njinji

    Msaada: Napatwa na maumivu makali kifuani kama nachomwa kisu

    .na ujinga wetu wote kwenye jukwaa Letu la kimasikhara ila nakukubali mwamba kwenye maswala muhimu ya kujenga unatia mchango wako... mungu akuzidishie Kila kheri mkuu
  9. Don njinji

    Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

    Ben saanane alikuwa na ukubwa au umuhimu Gani!!??ila amepotelea wapi!!!
  10. Don njinji

    Tukutane hapa tuliowahi kufanya mapenzi na binamu au ndugu zetu wa karibu

    Huu mwaka Wacha Liverpool tufanye tu vibaya kama tunaekutegemea ndio unabanjuka na tamu ya Mzee[emoji3][emoji3]
  11. Don njinji

    Simba wamekuwa wapole, na adabu juu!

    Mkuu ambae hujacheza nae ni viper tu au hao raja unamaanisha utaenda kuwafunga kwao????[emoji23][emoji23]
  12. Don njinji

    Historia fupi AKA

    Kwani mkitukanana kiswahili mtapungukiwa na nini???mnatuchosha na viinglish vyenu uchwara..batawahedi nyie Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
  13. Don njinji

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu unataka kesho tusisafir nini???madereva wakiona hii hakuna ataetoa gari boss tuone huruma...
Back
Top Bottom