Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,039
Nina smart tvNunua smart TV
Bando la kutosha
By approximation, game moja inakula gb 2 maximum
Hao DStv sijui ndio wakina nani
Bando la kutosha ninalo
Kingine nifanye kipi boss?
Nina smart tvNunua smart TV
Bando la kutosha
By approximation, game moja inakula gb 2 maximum
Hao DStv sijui ndio wakina nani
Nielekeze basi mm jamaniHiyo 60K ungelipia W-Fi katika Smart Tv yako ungenufaika na mengi
Ila inaisha nov 30azam wameshusha sana bei ya vingamuzi
Namba gan na gani?Dstv mm sasa hivi huwa siilipi tena nimebaki naangalia local channel zile za bure tuu
Laki 1 tu unapataWanauzaje
Bora nikinunue wiki hii hii
Na mimi nasubir jibuNina smart tv
Bando la kutosha ninalo
Kingine nifanye kipi boss?
Ile ilirusha gem zote za ulaya hadi america kusini na Africa!!DSTv ni ile ya 2010 ndio ilikuwa maana halisi ya DSTv sio hizi taka zao wanazotuletea sasa
DSTV analipa zaidi ya $10M (2015) kwa mwaka na ana exclusivity rights kuonyesha EPL, Champion League na ligi zingine za football kwa east and Central Africa.Wajitafakari sana muda si mrefu tutawakimbia sijajua kwa nini mzee Bakhresa haleti michuano ya EPL na Champions league kwenye Azam akifanikiwa hili ataimaliza DSTV
Tatizo na nyie canal sports mnazingua!decoda Hadi tuagize kwani hakuna mawakala!!?Mjadala ulishakuwepo na tukasema Dstv ni kichomi wasiojua wakabisha
1 Gb 2100Nunua smart TV
Bando la kutosha
By approximation, game moja inakula gb 2 maximum
Hao DStv sijui ndio wakina nani
ninayo smart unaangalizia wapi Youtube au ?Nunua smart TV
Bando la kutosha
By approximation, game moja inakula gb 2 maximum
Hao DStv sijui ndio wakina nani
Kwa sasa kutokana na streaming,Online TVs ,Hotel IPTV soko la DSTV linashuka Kila kukicha-....na Mapato yake 2020-2023 Yanashuka Kila mwaka.ifikapo 2028 huenda atokuwepo tena..kutokana na fibre optics Networks kusambaza Africa na hivyo kufanya streaming,IPTV,VOD kuwa cheap. Na affordableIle ilirusha gem zote za ulaya hadi america kusini na Africa!!
1 Gb 2100
Hapo piga hesabu kwa game 10. Bado ni ghari sana ndugu
Bora.Laki 1 tu unapata
Na chenji inarudi
Lawama za masikini





kwamba huwezi kuta mtu mwenye pesa zake analilia vifurushi 


Kwenye smart TV naweza angalia vipi game za CafNunua smart TV
Bando la kutosha
By approximation, game moja inakula gb 2 maximum
Hao DStv sijui ndio wakina nani