The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,926
- 4,938
Mbuzi inajipeleka kibrah.
Siku mbili tatu hivi sikuwa na MB na sikutaka kuunga, juzi kati hapa kuna jamaa kaniungia ofa za tigo GB1 kwa buku siku 3.
Ile nimewasha data naona pop-up sms Messenger nika drag na ku cancel. Badae nikazama kwenda messenger kucheki nakutana na dada sio rafiki yangu fb, kanipa hi na kiniomba namba, mzeee ikabidi nizame kwa profile yake kufanya ma preliminary investigation na feasibility study[emoji1] nikaona kama nampata vile alikuwa nyuma yangu madarasa 2 au 3 nyuma.
Ni pisi yakawaida, nikajibu salamu ,nikaacha namba pale.
Jumamosi kuna namba ngeni ikapiga, sikupokea nikaamua nimcheki hakupokea, baada ya muda akanicheki nikapokea story mbili tatu anaanza niuliza niko wapi, nafanya mishe gani as usual siwezi mwambia stranger ukweli ,who knows[emoji28] nikapiga noble lie pale niko sehem flan napiga mishe mishe tu sina jambo, ye akasema yuko jijini daslam sikutaka kujua anafanya nn mie sio mdau wa hayo. Tukaagana.
Juzi kanipigiaaa asubuhi, sikupokea, huwa sipendi kupigiwa simu asubuhi asubuhi unless ni close Friends au relatives, watanisamehe kwa hili. Nikavunga jioni nikamtext , mambo yule mpuuzi akanijibu PW nikaona hamna kaz hapa nikamuignore.
Jana asubuhi kanipigia, lawama kibao mbona hupokei simu zangu ,nikamuuliza ulipiga mara ngapi akasema moja,nikamuuliza inakuwaje unasema sipokei simu zako, nikamtell jana nlichelewa kuamka thus sikupokea ,akasema sawa.
Heee mara eeeh niambie, nikaona huyu mpuuz nimuambie nn yeye ndio amepiga nikamtell huku hakuna jipya, AKANIULIZA UMEOA nikamjibu hapana, wazee simu ikazima chaji wallah.
Nikaboost nikamtext ntakuchek mida saiv kuna kazi nafanya, jioni ikabidi nitimize ahadi asijeniona na madharau, nikamcheki hakunijibu nikaona poa nimenawa mikono ya lawama.
NB: Feedbacks nitaleta[emoji28]