Historia fupi AKA

errymars

Member
Dec 17, 2019
27
210
Kiernan Jarryd Forbes, ‘AKA’ alizaliwa Cape Town nchini Afrika Kusini Januari 28, 1988 na alijiingiza katika anga ya muziki mwaka 2002 alipoanzisha kundi la Hip-Hop lililoitwa Entity pamoja na wasanii wenzake, Vice Versa na Greyhound.

Kutokana na ubora wa mashairi yao, waliteuliwa kuwania Tuzo ya KORA kipengele cha cha Hip-Hop Bora Afrika kabla ya kusambaratika mwaka wa 2006 na baadaye AKA aliendelea kufanya kazi kwa kujitegemea ‘solo artist’ na kutoa kwa albamu yake ya kwanza ‘Alter Ego’ mwaka wa 2011.
Albamu nyingine tatu zilifuata ikiwemo ya siku za karibuni ya 2018 iitwayo ‘Touch My Blood’ na katika maisha yake AKA alikuwa na uhusiano na mtayarishaji wa muziki Ntombezinhle Jiyane, maarufu kama DJ Zinhle mwenye umri wa miaka 39.

Walifanikiwa kumpata binti anayeitwa Kairo Olwethu Forbes mwaka 2015 na wenzi hao walitengana mwaka huohuo kabla ya kurudiana tena mwaka 2018 na kutengana tena mwaka 2019 na jambo la kusikitisha ni kwamba AKA alipata mpenzi mpya aitwaye Nelli Tembe, wakachumbiana Februari 2021 lakini Nelli alianguka kwenye kibaraza na kufariki, Aprili 2021.

20230211_142146.jpg
AKA(0).jpg
 
Acha ujuaji? Wewe ulifanya uchunguzi kujua kuwa alisukumwa?

Sisemi alianguka au alisukumwa bali nakuona mjinga kwa kutoa conclusion kuwa alisukumwa wakati upo huko Nantumbo wala haupo Durban.
Uchunguzi nishafanya labda wewe uniambie msimamo wako maanake hapo upo neutral na kufanya uchunguzi hainilazimu kuwa Durban kwenye hii information age naweza kufanyia uchunguzi nikiwa huku huku namtumbo, na sijali nani ananionaje am a free ajenti ukiniona fala sawa tu ukinona boya baridi tu I don't give a ratass, najali zaidi najionaje endofstory.
"
The deceased landed at a distance that is consistent with a person who was pushed. She landed approximately five and a half metres away from the building, whereas, if she had jumped on her own, she would have landed approximately two metres away from the building.
"
 
Back
Top Bottom