Pole mkuu nje ya mada, sisi tulioajiriwa Nirc kama Agriculture engineer (civil) tukipata nafasi ya kuamia taasisi nyingine itabidi tufanye recategorization?
Na mimi nimepata kazi leo Nirc nashukuru Mungu. Japo nilikua nasubiria zaidi mkeka wa tpdc maana naskia asali ni niyingi ila moyo ushakata tamaa baada ya kusoma humu nikaona wadau wanasema hamna multiple palcement. Wale wa status ilianza selected for selected for practical kwenda selected for...
Hii sijui ni dawa au ulozi, ila kama unaweza jaribu piga msumari kwenye huo muembe. Nyumbani kulikua na shida hiyo akaja bibi mmoja kututembelea akatuambia tufanye hivyo baada yapo muembe haujaangusha tena maembe.
Wakuu nimeitwa kwenye interview Dodoma. ila changamoto cheti changu graduate engineer kimeisha muda wake nimefatilia Erb wamenipa barua mwenye uzoefu hawa PSRS wanakubali hizi barua za Erb?
Pole sana mkuu, story yako imenifanya nijione kumbe najidekeza sana na maisha. Endelea kupambana labda ungeweka na ulichosomea uwezi jua labda connection yako ipo humu. Au ungeweka ushaidi wa picha na page ya instagram tunaweza kukuchangia kidogo tulichonacho kikusaidie uinuke tena.
Kama ni kweli hongera kutoa dollar 1000 hadi 46000 sio mchezo maana wengi wanaoitetea forex hata haiwapi faida. Wanaitetea tu sababu wanafanya. Ila kiukweli kupata faida kwenye forex ni ngumu sana.
Nilikosea wangu yupo nyanda za kusini mmoja wa mikoa yenye baridi sana. Ila huyo achana naye au ishi nae tu huku unatafuta mwingine ila upunguze au usimpe matumizi kabisa.
Dah na mimi nina wangu mmoja nilikutana nae nikiwa intern na yeye alikua chuo, naye ni mchagga na anaumri huohuo . Mzuri na anamuonekano wa upole.
Alikua kapangishiwa na jamaa mmoja ni anafanya kazi Dodoma. Mimi nilikua nakaa nyumbani kwa hiyo tulikua tunakutana pale alipopangishiwa(nilikua...
Hapana mkuu haina haja ya kuhighlight, kama inakaataa hiyo step ya mwicho ya kucheck box la system operator iruke bonyeza okay tu bila kucheki box la system operator. Ila makesure umebadilisha kwenye decimal separator na thousand separator
Ikikataa toa feedback
1 Nenda kwenye file juu kushoto
2 Chagua option
3 Chagua advanced
4 Tafuta sehemu imeandikwa system separators alafu uncheck
5 Nenda kwenye decimal operator futa hiyo , weka .
6 Nenda kwenye thousand separator futa hiyo . weka ,
7 Rudi ukacheck ile button ya system separator alafu bonyeza okay
Baada ya kusoma hii thread yote nimekuja na mtazamo huu
1. Shule za private zinafaulisha kuliko za selikali na nadhani hii inatokana na uwekezaji wa kitaaluma na kinidhamu unaofanywa na shule za private ni ngumu kukuta mtoto au mwalimu wa Feza amekosa kipindi.
2. Selikali iwekeze kwenye Elimu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.