Partners: Kama una mtaji naomba tufanye hii biashara

antanarivo

JF-Expert Member
Jan 9, 2018
448
870
Habari za leo wakuu, pole na majukumu

Kama heading inavyosomeka hapo juu kama umebarikiwa mtaji au unaweza nikopesha mtaji hata kwa riba au tunaweza elewana namna ya kugawana mapato kwa asilimia either daily profit sharing/ au weekly contract payment

Hii biashara ni ya kununua na kuuza dollar

1$ tunanunua kwa tzs2300 na tunauza kwa tzs2400, mzunguko (wateja) upo/wapo wa kutosha

Hii biashara sio kwamba ni mpya kwangu no Mimi nimefanya lakini mtaji wangu ulikuwa kidogo sana lakini daily nilikuwa sikosi 10k- 30k per day kwa mtaji wa Dola 200$

Kama Kuna mtu yupo tayari kupatner Ili tufanye kazi please contact me via WhatsApp+255746021481 kwa ufafanuzi zaidi:

Ahsante

NB: BIASHARA HAINA SIDE EFFECTS, NI EITHER UPATE FAIDA KUBWA AU KIDOGO

Screenshot_20221210-180029.jpg
Screenshot_20221210-174846.jpg
 
Habari za leo wakuu, pole na majukumu

Kama heading inavosomeka hapo juu kama umebarikiwa mtaji au unaweza nikopesha mtaji hata kwa riba , au tunaweza elewana namna ya kugawana mapato kwa asilimia either daily profit sharing/ au weekly contract payment

Hii biashara ni ya kununua na kuuza dollar

1$ tunanunua kwa tzs2300 na tunauza kwa tzs2400 , mzunguko (wateja) upo/wapo wa kutosha

Hii biashara sio kwamba ni mpya kwangu no Mimi nimefanya lakini mtaji wangu ulikuwa kidogo sana lakini daily nilikuwa sikosi 10k- 30k per day kwa mtaji wa Dola 200$

Kama Kuna mtu yupo tayari kupatner Ili tufanye kazi please contact me via WhatsApp+255746021481 kwa ufafanuzi zaidi:

Ahsante

NB: BIASHARA HAINA SIDE EFFECTS, NI EITHER UPATE FAIDA KUBWA AU KIDOGO

View attachment 2442051View attachment 2442052
Hii ni program au nini broker au ni nini?
 
1ok - 30k unamaanisha nini!
 
Hii biashara unafanya online??
 
Hii sio mkuu ni vitu viwili tofauti kabisa hapo ni exchanging ya tzs na usd tu napo unanunua au unauza kwa mtu sio trading hio
Ulichoeleza hapo ndio definition ya trading yenyewe halafu mwishoni unasema sio trading hahaha kijana mazuzu wapo utawapata lakini sio humu

"Unanunua au unauza kwa mtu" hahah sio trading
 
Back
Top Bottom