Recent content by Domhome

  1. Domhome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Best friend wa Mzee KY
  2. Domhome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

    Mkuu NENO ni lile lile jana, leo na hata milele....
  3. Domhome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afanya sherehe ya harusi bila Bibi Harusi, baada ya kikeni kuzingua dakika za jioni

    Pia kuna: Kufa na Kupona na Hujuma
  4. Domhome

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr in Sweden

    Umenifanya nicheke kwa nguvu humu ofisini hadi wameni shangaa. Nigerian guys especially people from Igbo tribe wanaopatikana Kusini Mashariki ya Nigeria ni jamaa wa "fursa"
  5. Domhome

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Chumvi na hatma yangu shuleni

    Umetisha mwamba...Umenifanya nicheke kwa nguvu Ofcn !
  6. Domhome

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuimba uongo?

    Wimbo wa Lady Madona-Holiday Nakumbuka miaka ya 1980's Nikiwa Charlie mdogo tukiwa DUMILA pale barabarani "Msela" mmoja pale alikuwa akiuimba wimbo huu wa Madona kama ifuatavyo.... How many day, how many day........ badala ya Holiday..Holiday Toka hapo niliupenda sana wimbo huo na baadae nikaja...
  7. Domhome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Hapa itakuwa ni sawa na "Supu Kulitia Nazi"
  8. Domhome

    JamiiForums Tanzania Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza

    2 Fal 7:3ff Mkuu PureView zeiss Hapo ndo wataona ukuu wa Mungu....
  9. Domhome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mashabiki wa Yanga hatuwezi kufanya mandamano ili CAF wapate ujumbe kuwa tumeonewa

    Uko sahihi Kiongozi yaani Nchi inapelekwa msobemsobe na watu wako kimya kabisa wanaona ni normal sotuation ila kwenye issue ya Mamelody ndo tuandamane hii ni ajabu kweli kweli. Mambo ya msingi kabisa kama wizi wa Kura na Upokwaji wa Matokeo kwenye Chaguzi mbalimbali tuna yafumbia macho badala ya...
  10. Domhome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Hivi kweli hili nalo linahitaji ushauri toka kwa watu wengine? Wewe Jambo Kubwa unaona hili ni jambo dogo? Kwa hili lilokukuta hata ungemuuliza Baba Mkwe wako angekwambia piga chini huyo Mwanae. Huyo dada hakupendi na wala hakutaki ndo maana kaamua kudinywa wakati wewe mwenyewe upo nae. Je, vipi...
  11. Domhome

    JamiiForums Tanzania Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Serikali ya CCM inasikitisha sana... Kwenye mambo mazuri wanadai Mama anaupiga mwingi ila, kwenye HOVYO hawakubali kuwa ni "yeye" !
  12. Domhome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

    Inywe tu
  13. Domhome

    JamiiForums Tanzania Nimeokota kitambulisho cha NIDA

    Uko sahihi Mkuu na hivi Polisi yetu inatumia nguvu nyingi bila maarifa, utajuta kuzaliwa. Ndo maana hata Mtu akikuta Mtu kajinyonga anaogopa kutoa taarifa Polisi kwani Intelijensia yao ni duni mno na jamii inaogopa usumbufu na kubambikiwa. Jeshi la Polisi ni chanzo kikubwa sana cha uonevu...
  14. Domhome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

    Mungu ni Mwema and Time will Tell...
  15. Domhome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

    Iko siku watake wasitake wataondoka tu either by ballot box or by force...
Back
Top Bottom