DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,593
- 6,146
shukran mkuu
shukran mkuu
Best friend wa Mzee KYAnalyse, legend, apostle, baba husna, mkwe, mutani, amphibian😁😁 una majina mengi
Stress mbaya sana....Sasa sijui anapata faida gani ku dislikeHuu uzi kuna mtu ana dislike mwanzo mwenga....😀😀😀😀😀😀
Kuna comments zinamboa lazima 😃😃😃😀Stress mbaya sana....Sasa sijui anapata faida gani ku dislike
Kutusua au kuharibu, vinatenganishwa na mstari mwembamba sanaMkuu Analyse kwa simulizi zako kuna kitu in general nimekiona kwamba ni hivi mpaka uliopo kati ya utamu na uchungu ni mdogo sana.
Hivi vitu viwili uwenda kimoja kilizaa kingine ila hatujui ni kipi, raha ikikolea sana akili inafreeze kabisa na shida zinatufanya akili inakuwa active sana.
Kijana wa mzee wa kongowe, jirani wa mzee dingi, ana marafiki hadi songea 😁😁😁 mtoto feki wa mangi.Best friend wa Mzee KY
🤣🤣Nikataka nimwambie namiliki bodaboda kuna mtu nimempa mkataba, ila nikasita. Maana Mshua wangu mwenyewe nilivyomwambiaga nimenunua bodaboda, aliniambia nitafute kitu kingine maana hiyo sio biashara, muda wowote naweza kupigiwa simu niambiwe chombo kipo chini ya fuso, mtaji na faida vinapotea
ah we mbona kila siku ulikuwa unagundua mapya!Fanya uchomoke mkuu, hakuna jipya huko
wakuue tu!😅😅😅😅 Vibaya hivyo