Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

Sasa ukiacha kutembea na Wake za watu na Binti za wenyewe utakula wapi kama sio kwa Malaya na Mashoga? Acheni habari zenu bana.
Serkali ipige marufuku kitu kinaitwa TEGO.
Mkuu unaongelea Serikali hii hii inayosimamia MWENDOKASI na SGR au kuna nyingine? maana wao wenyewe wanategana.
 
Hiii ya kunasa ni kweli.
Mwaka Jana niliona live jirani yangu kanasiana na mke wa jirani yangu(wote mtaa mmoja)
Cha kusikitisha zaidi jamaaa aligoma kumnasua so mwamba alifariki Dunia

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mara ya kwanza kuskia Tego niliona kwenye bongo movie moja nikiwa darasa la 5 hiyo filam ilichezewa huko ludewa jamaa walimuua mfugaji mmoja alietoka kuuza mifugo yake wakampora pesa yule mzee aliekufa akaanza kuwatokea na kumuua mmoja mmoja wakawa wanasema ni tego kwahiyo mi najuaga Tego ni marehem alieuwawa huwa anatengenezwa na waganga anawatokea waliomuua.
 
Back
Top Bottom