Recent content by dolphien dominic

  1. dolphien dominic

    Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    kakaaa weka vitu bac me nsjitahd kweli ku LIKE story tamu sana
  2. dolphien dominic

    Nusu siku ndani ya jeneza

    yaani leo umenigusa sana mkuu mimi mwenyewe nna nyota ya simba mume wangu mshale duuh jamanii kweli najifunza mengi...
  3. dolphien dominic

    Nusu siku ndani ya jeneza

    daaaah aiseee mkuu mzizi mkavu umenigusa kila kona leo
  4. dolphien dominic

    Nusu siku ndani ya jeneza

    aisee kaka tupia vitu basi maana hata kula sijala nasubiri
  5. dolphien dominic

    Iphone 4 orginal gb16

    mkuu samahan me pia nahtaj iyo ktu namba yangu iyo apo 0655815156 plzz naomba ntafute
  6. dolphien dominic

    Nufaika na mafuta ya MISKI

    jaman hayo mafuta yanapayikana wap na makovu je yanatoa pia
  7. dolphien dominic

    Ajali: Basi la Hood laua mmoja na kujeruhi 27

    watu wengne bhana sa apo kuna ujinga gan au hujui kusoma
  8. dolphien dominic

    Nahitaj kujua kuhusu mambo ya uzazi

    Habari zena wana jf naomba kujuzwa kuhusu uzazi naama jinsi ya kuhesabu siku zipi ni za hatari ( baada ya kumaliza hedhi mwanamke anaweza kupata mimba) na zipi sio za hatari ( mwanamke hawezi pata mimba). naomba kuwasilisha
  9. dolphien dominic

    Nahitaj saa ya sony

    Mimi nipo dar tabata bima
  10. dolphien dominic

    Nahitaj saa ya sony

    pleas kwa anaeweza jua ntapata wap hii kitu naomba anambie na kwa bei gan
  11. dolphien dominic

    Nahitaj saa ya sony

    Habari zenu wana jf naomba msaada kwa anaeweza kujua wap zinapatikana saa za sony na ni bei yake pleas naomba anitaarifu au hata kwa kuagza huko zinakopatikana naomba msaada wenu jaman. Asanteni
  12. dolphien dominic

    Nahitaj saa ya sony

    habari zena wana jf nahtaj saa ya sony kama kuna anaejua ntapata wap au hata kunisaidia kuagza nje pleas naomba antaarifu. Thanx
  13. dolphien dominic

    Soseji na maharage mabichi

    Icho chakula kinaliwa na nn
  14. dolphien dominic

    Kwanini wanaume viwembe/malaya (players) hupendwa na wanawake?

    na vp kuhusu wanaume wanaopenda kina dada malaya mana msikae upande mmoja tuu
Back
Top Bottom