Nufaika na mafuta ya MISKI

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,061
2,000
NUFAIKA NA MAFUTA YA MISKI

Miski ni mama wa mafuta yote mazuri duniani. Kutokana na ubora au umuhimu wake katika tiba na manukato watu wengi wamekuwa wakichakachua na kuzalisha miski feki.UNAWEZAJE KUTAMBUA MISKI FEKI NA HALISI?

Unaweza kutambua kwa kunusa, kupima uzito na ladha. Kwa upande wa ladha, miski halisi inakuwa na ladha ya uchungu isiyochanganyika na sukari, na kama utaonja basi utapata msisimuko fulani.

Pia kama utayasomea Ruqia na kumpakaa mgonjwa wa masheitani athari zake huonekana maramoja.

MATUMIZI YA MAFUTA YA MISIKI KAMA TIBA

1. Ni kinga na tiba ya masheitani wa kijini na kibinadamu. MATUMIZI; Changanya mafuta ya miski na ya zaituni halafu uwe unajipakaa mwilimzima asubuhi na jioni. ukkosa mafuta ya zaituni unaweza kutumia mafuta ya miski pekeyake.

2.Kusafisha na kufungua milango ya fahamu-MATUMIZI; Nusa marakwamara.

3.Kuongeza hamu ya chakula cha usiku kwa wanandoa. MATUMIZI; weka maji katika glasi halafu dondoshea matone matatu ya miski, halafu unywe na kujipaka sehemu nyeti dakika tano kabla ya kwenda chakulani. hii ni kwa wanaume na wanawake.

4. Kusafisha sehemu nyeti. MATUMIZI; Wanawake baada ya kumaliza siku zao wanaweza kutumia mafuta haya kwa kuondoa harufu, lakini pia kwa kuongeza ashiki (hamu). ONYO: Usitumiye bila kuchanganya na maji na usitumiye kama hauko katika ndoa nakama uko mbalimbali na mume wako.

5. Tiba ya uke ulio legea. MATUMIZI;Changanya na maji halafu uwe unanawa kwa ajili ya kukaza uke, kupunguza maji na kufanya sehemu hiyo kuwa ndogo.

======================
Wakuu hii msg nilitumiwa watsup na nikavutiwa na tiba yake nikaona bora niilete hapa ila mnihakikishie kama ni kweli na kama kuna mtu ana picha ya hayo mafuta.
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,675
2,000
Mafuta ya Miski
Mafuta ya zaituni
 

Attachments

 • Olive Oil.jpg
  File size
  15.3 KB
  Views
  723
 • Arabian_Musk_Per.jpg
  File size
  6.1 KB
  Views
  3,179

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,675
2,000
jaman hayo mafuta yanapayikana wap na makovu je yanatoa pia
Mimi huku nilpo nje yapo na yanapatikana sijuwi huko nyumbani Tanzania kam yanweza kupatikana? kwa wale wanaojuwa walete maelezo je hapo nyumbani mafuta ya miski yanaweza kupatikana ? Tupeni Feedback
 

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,061
2,000
mi nipo mwanza nafuatilia kesho kama yanapatina na nitaleta majibu hapa
 

nyanja255

Senior Member
Mar 14, 2014
103
225
Yanapatikana sana kwenye maduka ya kuuza dawa za mitishamba au kwa wale wa Dar nenda kariakoo tafuta maduka ya wapemba au popote wanapouza dawa za asili
 

Butola

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
2,291
2,000
Ndio maelezo yako ni ya kweli hata mimi ninayatumia hayo mafuta kuwatibu watu hongera mkuu.

Mzizi Mkavu...naomba ufafanuzi hapa...jinsi gani na kwa namna gani ya mafuta ni kinga kwa mashetani wa kijini na kibinadamu.Ukweli juu ya hili ukoje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom