Soseji na maharage mabichi

mwali wa giningi

mwali wa giningi

Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
58
Points
95
mwali wa giningi

mwali wa giningi

Member
Joined Nov 14, 2013
58 95
Viamba vya upishi

Maharage meupe mabichi
Nyanya moja kubwa
Soseji 4 za nyama
Mafuta ya alizeti kijiko 1 cha mezani
Chumvi kiasi
Pilipili hoho 1
Majani ya basil
Yai moja
Unga wa pilipili kali

Jinsi ya kupika

Chukua maharage osha vizuri na chemsha hadi yaive. Baada ya hapo chukua soseji zako na katakata na kisha weka pembeni.
Chukua nyanya,hoho na osha vizuri halafu katakata katika ukubwa wa kiasi. Weka katika sufuria yenye soseji. Kisha changanya na maharage. Nyunyizia mafuta na chumvi kiasi. Baada ya hapo weka jikoni na funika kwa muda wa dakika sita hadi nane. Ikiwa kama unatumia pilipili unaeza kunyunyizia kiasi kabla ya kuipua. Ipua na weka kwenye sahani.
Baada ya hapo chukua chuma cha kuaangia chapatti, weka jikoni. Baada ya kupata moto weka mafuta kiasi. Chukua yai pasua. Usilikoroge ili kiini chake kionekane juu ya ute wa hilo yai. Kaanga kwa ustadi bila kugeuza na litakuwa kama jicho. Baada ya kuhakikisha kuwa limeiva. Pambia juu ya upishi wako.
Chukua majani ya basil na kisha, osha katika maji ya moto na katia katika juu ya upishi wako ili kuweka nakshi.
Hadi hapo chakula chako kitakuwa tayari kwa kuliwa.
 
usiniguse

usiniguse

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,513
Points
2,000
usiniguse

usiniguse

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,513 2,000
majani ya basil ndo yapi

Sijui jina lake kwa kiswahili lakini ni majani yanayotumiwa kwenye mboga lakini sio kotmir ngoja nijaribu kutafuta jina lake kwa kiswahili, sawa Usiniguse
majani ya basil ndo yapi
 
Forum statistics

Threads 1,326,837
Members 509,593
Posts 32,236,901
Top