Recent content by doktamathew

  1. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

    SIO KWELI,WATU WENGI WAMEKUA WAKIWORSEN KWA KUFUATA HIZI PLACEBO MANAGEMENT... MIWA HAINA ANATI HEPATITIS ACTIVITY,INAPUNGUZA BILIRUBIN PEKEE
  2. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Ufahamu ugonjwa wa homa ya Chikungunya

    Imeandaliwa na @doktamathew Huu ni ugonjwa wa virusi unaoenezwa na mbu aina ya Aedes aegypti na Aedes albopictus. Neno chikungunya limetoholewa kutoka neno la kimakonde(kun-kunyala) ambalo linamaanisha kupinda au kujikunja au kuinamia mbele na hali hio ndio inayawaelezea namna wagonjwa wenye...
  3. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Nipe elimu, usinipe mimba

    Watoto wa kike wasiposoma kisa wamepata ujauzito haingii akilini. Tuwapeni haki zao jamani. . Ni bora mseme mwenye mimba na aliempa mimba wote watolewe au afungwe miaka 50 jela. Mwanamke hawezi kupata mimba bila kua na lijamaa linalohusika (mafataki) kuna sheria yes but isiwe one way traffic...
  4. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Ufahamu ugonjwa wa Shigela (Kuhara)

    SHIGELA (SHIGELOSIS) Huu ni ugonjwa hatari wa kuharisha ambao husababishwa na kimelea aitwae Shigella dysenteriae ..kimelea huyu aligundulika kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 1897 huko Japan,na mtaalamu wa mikrobiolojia aitwae Kiyoshi Shiga,kipindi hiko kulikua na mlipuko mkubwa wa kuhara...
  5. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye mkia

    Sio edit.Haya mambo tunakutanaga nayo Sana tu Sent using Doktamathew phone
  6. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye mkia

    MKIA UKATWE AU USIKATWE HAKUNA SHIDA Kama utapenda kua nao sawa tu hutapata tatizo lolote la kiafya, kama utaona hautakua na amani basi utakatwa tu bila shida yeyote Sent using Doktamathew phone
  7. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye mkia

    Mzazi ambae umepata mtoto mwenye mkia usiogope,tulia na jua sio jambo la kutisha wala kuhatarisha maisha ya mwanao. Mpe ushirikiano dr wako na mambo yataenda safi sana. Je, wewe ukipata mtoto mwenye mkia utafanyaje kwa mara ya kwanza? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    Nani hao? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    MAPENZI YA NJIA YA HAJA KUBWA(ANAL SEX) Imeandaliwa na @doktamathew Kila mmoja wetu anafahamu maana ya mapenzi na njia ipi inafaa kwa ajili ya kufurahishana faragha na kuongeza kizazi kama alivotuelekeza Mwenyezi Mungu. Siku hizi kumekua na wimbi kubwa la watu kupenda na kuhamasisha mapenzi ya...
  10. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Ufahamu ugonjwa wa homa ya Lassa

    NAMNA HOMA YA LASSA HUAMBUKIZWA Homa ya lassa huambukizwa na panya wa afrika aitwae Mastomys rats- mastomys natalensis ;na binadamu hupata maambukizi kupitia kugusana na mkojo au kinyesi cha panya mwenye kirusi cha lassa, kuvuta hewa ya vitu vilivochafuliwa na kinyesi au mkojo na kula au kunywa...
  11. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Share please... TUSIKUBALI ITALY ---14681 Deaths China ---3326 Deaths Spain ---11198 Deaths USA --- 7403 Deaths AFRICA(Whole continent) -- 164 and the world wants to Start vaccination in Africa.... WHY ?[emoji848] SAY NO TO THIS THING Sent using Jamii Forums mobile app
  12. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Waafrika wawajia juu wanaopendekeza chanjo ya COVID-19 kufanyiwa majaribio Afrika

    Share please!! ITALY ---14681 Deaths China ---3326 Deaths Spain ---11198 Deaths USA --- 7403 Deaths AFRICA(Whole continent) -- 164 and the world wants to Start vaccination in Africa.... WHY ?[emoji848] SAY NO TO THIS THING who @WHOAFRO Sent using Jamii Forums mobile app
  13. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona kufanyikia majaribio Afrika

    ITALY ---14681 Deaths China ---3326 Deaths Spain ---11198 Deaths USA --- 7403 Deaths AFRICA(Whole continent) -- 164 and the world wants to Start vaccination in Africa.... WHY ?[emoji848] . . TUSIKUBALI. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Ufahamu ugonjwa wa homa ya Lassa

    UFAHAMU UGONJWA WA HOMA YA LASSA Katika siku za hivi karibuni yapata miezi mitatu sasa kumekua taarifa sana zilizosambaa juu ya ugonjwa wa homa ya corona, mlipuko ambao ulitokea katika jiji la wuhan huko nchini China na kirusi cha corona kinaaminika kimetoka kwa popo japokua haijafahamika ni...
  15. doktamathew

    JamiiForums Tanzania Dalili za ugonjwa wa Tinea Versicolor

    DALILI ZA UGONJWA HUU Kama nilivokwisha kusema hapo juu ugonjwa huu kwa asilimia kubwa humfanya mtu awe na ngozi kavu maeneo ya mgongoni na mikononi na ambayo anakua na mabaka mabaka meusi na meupe na wakati mwingine yamechanganyika na mabaka mabaka mekundu. Wagonjwa walio wengi hua hawapati...
Back
Top Bottom