Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile

afu wengi wao wanakuwa wanataka wenyewe....labda waje watoe ushuhuda huwa wanajiskiaje wanapofanyiwa hvo
 
Kuna ongezeko kubwa sana la wanawake kuingiliwa kinyume na maumbile…nini tatizo?????

Je wanaume hulazimisha???

Au wanawake huridhia wenyewe????
Wewe umewaingia au umeingiliwa na wangapi?
 
Mkuu umeshawahi kufanya?
hapana mkuu..ila kuna mdada tuligombana sana kuhusu upumbavu huo.. aliniambia tujaribu nika mwambia tutagawana majengo ya serikali ,,,sifanyi upumbavu mm
 
Nina kama dakika 5 nimetoka chezea mbolea. Vipo vitu vya kuacha mkuu sio kucheza na chemba.
 
Ile sehemu bhana! Ni sawa na kukataza mbuzi katoliki, ukijaribu kutafuna kuacha ni shida.
 
Huu mchezo upamba moto sikuizi,wadada wa dar (sio wote) wanafanywa sana
 
Mimi sintokuja kufanya huo uchafu, Nguvu za Mungu zinahitajika ili kutokuanzisha tabia mpya zenye addiction, ikiwepo hiyo.
 
Duuh Aiseeee.Mungu Atunusuru..

ITS TAKE 1 WORD TO STOP IT.

ONLY ONE MOMENT TO SAY NO,& IT DONE


ONE DECISION TO SAY I CAN DO RIGHTLY,N U DO T.

-Thanks Pastor umewakumbusha WATU
 
MAPENZI YA NJIA YA HAJA KUBWA(ANAL SEX)

Imeandaliwa na @doktamathew

Kila mmoja wetu anafahamu maana ya mapenzi na njia ipi inafaa kwa ajili ya kufurahishana faragha na kuongeza kizazi kama alivotuelekeza Mwenyezi Mungu. Siku hizi kumekua na wimbi kubwa la watu kupenda na kuhamasisha mapenzi ya njia ya haja kubwa,watu hao ni kinadada na wanaume hasa vijana,wanaume wanaofanya mapenzi na wanaume wenzao na mume na mke wake au wapenzi. Aina hii ya mapenzi imeongeza umaarufu kutokana na ujio wa utandawazi na mitandao ya kijamii.watu maarufu kwa namna moja au nyingine huchangia katika kuharibu jamii kwenye masuala kama haya. Sasa naenda kuelezea baadhi ya madhara ya mapenzi ya aina hii.

1. KUPATA MAAMBUKIZI YA VVU.
Wanaofanya mapenzi ya aina hii wanakua kwenye hatari ya kupata HIV mara 50 zaidi ukilinganisha na wanaofanya mapenzi ya kawaida,na anaeingiliwa(receptive partner) ndo anakua na hatari kubwa zaidi ya anaeingiza uume(insertive partner). Sababu kubwa za kupata maambukizi ni kwamba njia ya haja kubwa ina vipokezi vingi vya HIV na ukuta wa njia ya haja kubwa ni mlaini na haujaandaliwa kwa ajili ya mapenzi kwa hio unakuta michubuko ni mingi na maambukizi ni makubwa kwa njia hii

2. KUCHANIKA NJIA YA HAJA KUBWA.
Kama tunavofahamu njia ya haja kubwa iko tafauti sana na uke na haiwez kutanuka kama ilivyo uke kwa hio kutokana na msukumo na msuguano utokanao na mapenzi hayo ni rahisi kuchanika na kupata maumivu makali na pia kua njia ya vijidudu kuingia damuni.

3. KUPATA SARATANI YA NJIA YA HAJA KUBWA.
Mapenzi ya njia ya haja kubwa hasa kwa wenye wapenzi wengi hua kwenye hatari kubwa kupata maambukizi ya HPV ambae ana uwezo mkubwa wa kusababisha saratani ya njia ya haja kubwa.

4.KULEGEA NJIA YA HAJA KUBWA

5. KUPATA SARATANI YA UUME

6. KUSHINDWA KUTHIBITI CHOO AU KIJAMBO KWANI MISULI YA KUTHIBITI HAYO MAMBO ZINAKUA ZIMELEGEA AU KUPWAYA

7. Njia ya haja kubwa kutoka nje.

Epuka mapenzi ya njia ya haja kubwa kwani unajitafutia madhara makubwa sana tenasana.

Epuka kuharisha hadharani hata kwa kicheko tu kwani misuli imeharibika(mtaani tunasema breki zimekufa[emoji16]) Piga marufuku USHOGA TANZANIA NA KATAA MAPENZI YA KINYUME NA MAUMBILE KABISA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom