kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,190
- 1,730
Wawe makini sana, wasije tuletea chanjo ikageuka kuwa chanjo ya kudumu, yaani ikawa hatuumwi ugonjwa wowote maisha yote.
Sawa MbwaAcheni kushobokea hiyo kitu !
Unaweza kukuta mnadungwa dawa ya kuzuia bolo lisifanye kazi tena halafu unajukuta unaanza "kuwashwa washwa "
Mwisho wa siku wote mnageuka kuwa mashoga mnaolomewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni muuaji....ule mpango wa depopulation sasa utatimizwa kilaini.Nandie ameleta chanjo inayotolewa mashuleni hadi mabint wengi kwasasa wanasumbuliwa na kansa ya kizazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanyie huko huko kwao wanakoteketea wasitufanye mbuzi wa kafara sisiNimekutana na Hii kitu mahala nikaona nilete kwa Ma GT Je kuna Ukweli wa hili jambo? kama Lipo hawa sio watu wazuri nna Mashaka nao..Tukae kwa Tahadhari Wananzengo
CHANJO YA CORONA KUFANYIWA MAJARIBIO AFRICA
Umoja wa Mataifa umedhamiria kuifanyia majaribio Chanjo dhidi ya virusi vya Corona katika bara la Africa ili waone kama inafanya kazi.
Aliyetangaza mpango huo ni ni Katibu Mkuu wa umoja huo #Antonio_Guteress.
#Nukuuu___
" Tayari tumetengeneza chanjo ambayo itakuwa Kinga dhidi ya virusi vya Corona na tumedhamiria kuanza kuifanyia jaribio la kwanza barani Afrika ili turuhusu chanjo hiyo itumike , tutaanza kwa kupima mtu mwenye ngozi nyeusi atakayeweza kujitolea na atalipwa pesa nyingi Sana."
# Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita daktari mkubwa nchini ufaransa mwenye asili ya Senegal #Dider_Raoult alionya juu ya Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona itakayo tumwa barani Africa na Bilionea #Bill_Gates kwa mgongo wa Umoja wa Mataifa.
#Nukuuu___
"Tafadhali msitumie chanjo ambayo #Bill_Gates atatuma barani Afrika, nawaomba viongozi wa nchi za Afrika chukueni tahadhari na kuweni makini na chanjo ambazo hawa matajiri wa nchi za ulaya na Marekani wanataraji kuzituma katika nchi zenu, nina imani kuwa chanjo hizo huenda zinalenga kuiangamiza Afrika , embu tafakari kwa makini kama wanahitaji kutoa msaada kwanini wasianzie Italy, Hispania au Marekani ambako watu wanafariki kila kukicha kwani chanjo hiyo isiende kufanyiwa majaribio katika nchi za ulaya na Asia lakini wanaleta Afrika tu ???"
Hii kitu nimeisikia kwenye habari asubuhi hii na baadhi ya nchi tayari zimetilia shaka mpango huo,ila hawajazitaja nchi husika.Sasa mbona hujaweka chanzo cha habari yako na sisi tukajisomee huko?
ITALY ---11596 Deaths
China ---3314 Deaths
Spain ---7716 Deaths
USA --- 2988 Deaths
AFRICA(Whole continent) -- 23
and the world wants to Start vaccination in Africa....
WHY ?[emoji848]
TUSIKUBALI..View attachment 1408485
Sent using Jamii Forums mobile app
Italy death toll ilikuwa 13000 juzi wewe hizo takwimu umetoa wapi?ITALY ---11596 Deaths
China ---3314 Deaths
Spain ---7716 Deaths
USA --- 2988 Deaths
AFRICA(Whole continent) -- 23
and the world wants to Start vaccination in Africa....
WHY ?[emoji848]
TUSIKUBALI..View attachment 1408485
Sent using Jamii Forums mobile app
wamasai wengi tu nadhani hizi chanjo hawanaHuyu ni muuaji....ule mpango wa depopulation sasa utatimizwa kilaini.
Chaji nyingi tu watoto na sisi wenyewe tumechanjwa..tusubiri..maradhi ya ajabu ajabu..
wanaua body immune yetu...halafu watu wanaona maskhara!
Kuna watu hawachanji watoto wao na wako vizuri sana tu! Jiulize hapo!
Sent using Jamii Forums mobile app