Mtoto mwenye mkia

doktamathew

Member
Mar 12, 2013
22
43
Mzazi ambae umepata mtoto mwenye mkia usiogope,tulia na jua sio jambo la kutisha wala kuhatarisha maisha ya mwanao.

Mpe ushirikiano dr wako na mambo yataenda safi sana. Je, wewe ukipata mtoto mwenye mkia utafanyaje kwa mara ya kwanza?

IMG_20200404_200505_593.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKIA UKATWE AU USIKATWE HAKUNA SHIDA
Lakini kamempendeza...

Kwani akikatwa atadhurika mbona mtu anakatika miguu au mikono na kuishi tu huku akibaki mlemavu?
Kama utapenda kua nao sawa tu hutapata tatizo lolote la kiafya, kama utaona hautakua na amani basi utakatwa tu bila shida yeyote

Sent using Doktamathew phone
 
Mungu hakuumba mwanadamu mwenye mkia, sasa huyo mwenye mkia katoka wapi kama sio kwa Lucifer na ma Tecno yawezayo hata kumfanya mwanaume awe na makalio kama ya Bashite!

Tusitishane 😂
 
Hivi wale wasioamini Evolution hili watalielezeaje? Au haihusiani na sisi kuwa nyani hapo mwanzo?
Yeyote anayeamini evolution namuona kama anafikiri pafupi mno . Yaani hana ile critical thinking kwa kuwa naweza mpangua kwa maswali machache tu .ninachoamini mimi ni adaptation na hakuna evolution .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom