Nipe elimu, usinipe mimba

Nipe elimu, usinipe mimba

doktamathew

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
21
Reaction score
43
Watoto wa kike wasiposoma kisa wamepata ujauzito haingii akilini. Tuwapeni haki zao jamani.
.
Ni bora mseme mwenye mimba na aliempa mimba wote watolewe au afungwe miaka 50 jela. Mwanamke hawezi kupata mimba bila kua na lijamaa linalohusika (mafataki) kuna sheria yes but isiwe one way traffic. Ukimpa elimu Mtoto wa kike umelikomboa taifa.
.
Tunafahamu kwa kina kwamba wapo wanawake wengi wanajiuza na wengine wanafanya kazi za shurba ili kukidhi mahitaji yao ya kila siku ikiwemo kumlea mtoto aliachiwa na mwanaume ambae amekimbia na sheria haimtafuti huyo mtu. Wapo wanawawake wanafanya mambo ya kujiuza na ukijaribu kuwahoji kulikoni majibu yao hua yanahuzunisha.

Mimi nimeshahoji hoji wengi kama pale Ambiansi, Uwanja wa Fisi, Mabatini, Levolosi, Malindi nk na majibu yao yalikua yakuhuzunisha. Nikiri NILIBUBUJIKWA NA MACHOZI, inauma sana.
.
Tusiwahukumu wanawake hawa kwa sababu ya mimba,ukahaba au umalaya bali tuangalie wanaume walowafikisha hapo.
.
Kila mwanamke anaejiuza ana stori ya kuhuzunisha juu ya mwanaume au wanaume fulani.
.
Mwisho katika hali ya kustaajabisha wanawake wengi wanashiriki katika vitendo vya ukahaba/umalaya wengine ni wake za watu, wapenzi wa watu, wafanyakazi wa umma, watu wa kiroho nk.

Screenshot_20200404-174424.jpg

Sent using Doktamathew phone
 
Fanya kazi mkuu.... Kutendwa na mwanaume si tiketi ya kuingia kwenye ukahaba.
 
....mchumba hasomeshwiii...

Leo clouds fm wameongelea mada, kuwalinda watoto wa kike "vipepeo"....

Mmoja wa wachangia mada akasema Wamama/Watu wazima (wengine PhD/Law graduates/Wafanya biashara wakubwa/Drs etc) pamoja na kwamba wamevuka miaka 30, bado wanadanganywa wanadanganyika (shoopings/gifts/carings etc). Huezi mwambia natakaaaa....kimasihara akubali moja kwa moja. Kwa awo wakubwa wanadanganyika sembuse vipepeoo
 
Watoto wa kike wasiposoma kisa wamepata ujauzito haingii akilini. Tuwapeni haki zao jamani.
.
Ni bora mseme mwenye mimba na aliempa mimba wote watolewe au afungwe miaka 50 jela. Mwanamke hawezi kupata mimba bila kua na lijamaa linalohusika (mafataki) kuna sheria yes but isiwe one way traffic. Ukimpa elimu Mtoto wa kike umelikomboa taifa.
.
Tunafahamu kwa kina kwamba wapo wanawake wengi wanajiuza na wengine wanafanya kazi za shurba ili kukidhi mahitaji yao ya kila siku ikiwemo kumlea mtoto aliachiwa na mwanaume ambae amekimbia na sheria haimtafuti huyo mtu. Wapo wanawawake wanafanya mambo ya kujiuza na ukijaribu kuwahoji kulikoni majibu yao hua yanahuzunisha.

Mimi nimeshahoji hoji wengi kama pale Ambiansi, Uwanja wa Fisi, Mabatini, Levolosi, Malindi nk na majibu yao yalikua yakuhuzunisha. Nikiri NILIBUBUJIKWA NA MACHOZI, inauma sana.
.
Tusiwahukumu wanawake hawa kwa sababu ya mimba,ukahaba au umalaya bali tuangalie wanaume walowafikisha hapo.
.
Kila mwanamke anaejiuza ana stori ya kuhuzunisha juu ya mwanaume au wanaume fulani.
.
Mwisho katika hali ya kustaajabisha wanawake wengi wanashiriki katika vitendo vya ukahaba/umalaya wengine ni wake za watu, wapenzi wa watu, wafanyakazi wa umma, watu wa kiroho nk.

Sent using Doktamathew phone
Good message.
 
Mkuu utampaje mtu kitu ambacho huna..??
Kwani sote tunaelimu? Wengine hatuna sasa tuwape nini unafikiri

Kila mmoja na agawe alichonacho kama huna Basi.
 
Back
Top Bottom