Mtoto mwenye mkia

Mtoto mwenye mkia

Yeyote anayeamini evolution namuona kama anafikiri pafupi mno . Yaani hana ile critical thinking kwa kuwa naweza mpangua kwa maswali machache tu .ninachoamini mimi ni adaptation na hakuna evolution .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nipangue mimi kwa hayo maswali machache.
Sema tutashindwana tuu kwa sababu utahusisha imani
 
Mungu hakuumba mwanadamu mwenye mkia, sasa huyo mwenye mkia katoka wapi kama sio kwa Lucifer na ma Tecno yawezayo hata kumfanya mwanaume awe na makalio kama ya Bashite!

Tusitishane [emoji23]
Huwa unao pindi ukiwa tumboni sema huwa unapotea wiki kadhaa kabla ya kuzaliwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wale wasioamini Evolution hili watalielezeaje? Au haihusiani na sisi kuwa nyani hapo mwanzo?
Hakuna mahusiano ya mtoto kuzaliwa mkia na hiyo evolution.

Leo mtu akija na theory yake ya kuwa binadamu wa mwanza aligandana na akatumia hoja kuwa kuna watoto wanazaliwa wamegandana hiyo itakuwa hoja ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeyote anayeamini evolution namuona kama anafikiri pafupi mno . Yaani hana ile critical thinking kwa kuwa naweza mpangua kwa maswali machache tu .ninachoamini mimi ni adaptation na hakuna evolution .

Sent using Jamii Forums mobile app

Sahihi kabisa, tatizo watu wanapenda Story za Wanasayansi ila hawafikirii mambo kiundani, laiti kama wangekuwa wanafikiria kiundani haya yasingekuwepo ?
 
Linakatwa tu utotoni otherwise watoto wenzie wakijua ana mkia huko shuleni atalikata mwenyewe kwa wembe!😁
 
Lakini kamempendeza...[emoji2]

Kwani akikatwa atadhurika mbona mtu anakatika miguu au mikono na kuishi tu huku akibaki mlemavu?
Ngoja tumuulize mshana hii sio mambo yale ya nguvu za giza

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
But hyo ni structure ya uti wa mgongo,imetokea tuu hitilafu ktk kipindi cha formation ya mgongo ikasahaulika kufunga.
 
Swali zuri mrembo.

Unawezaje kuthibitishaje kama hii "Id" ya Cajojo ni yako ?
Hayo mambo ya kuthibitisha unyani ni ya kisayansi na wala kwa akili yangu siwezi kuthibitisha hilo mdada. Ila kwa upeo wangu mfupi nimeandika comment nyingine chini labda itakufurahisha hyo.
 
Back
Top Bottom