Recent content by dogaiga

  1. D

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Series ya kikorea ADAMAS unyama mwingi [emoji91][emoji91]
  2. D

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Ziko episode 5 sasa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kwangu mimi naona iko kawaida tu hakuna jipya
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mi naicheki ila ndo nipo episode ya 2 sijui imefikia episode ya ngapi??
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Hii ilikuwa na balaa mi nilikesha kabisa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Kama hauna cheti cha jkt system inakubali kweli?? Naona imewekewa nyota
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Hii biashara ya kuku wa nyama ina changamoto sana ila ukiipatia nayo unakupa hela sana
  8. D

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mmetuchania mikeka yetu[emoji23][emoji23][emoji23]
  9. D

    JamiiForums Tanzania Najuta kupoteza muda wangu kuangalia Ujinga uliopo Kwenye series ya money heist

    Daah we jamaa upo vizuri
  10. D

    JamiiForums Tanzania Movie ya dont breath 2 2021

    Mi huwa naangalia kwenye tv inch 43 fresh tu bila zengwe
  11. D

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kalamba nyasi
  12. D

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  13. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mi nilikuwa nahitaji connection ya mashati ya mtumba ya grade 2 kwa jumla
  14. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Naanzaje sasa na kama viatu navipatia wap??
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na kazi ya usambazaji wa kuku kwenye Mahotel na migahawa

    Ningependa kufahamu jinsi ya kuanza hii biashara kwa mtu ambaye ameshawahi kufanya au bado anafanya anipe maelekezo jinsi ya kuanza natakiwa niwe na mtaji wa kiasi gan??
Back
Top Bottom