Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

Ipo hivi kutokana na kutokuwa na vibali walitoa tempo kwa nafasi za wahudumu wa ofisi na walikuwa na limit ya kazi za kufanya na siyo kujitolea Kama walivyobainisha juu coz Kuna mpwa wangu alipata tempo hiyo, jamaa wapo smart sana
Owk utaratibu huwa upoje ukitaka kufanya hizo kazi za tample
 
Hizi nafasi ngumu sana, ambao hawana kitambulisho cha NIDA huwezi omba naona hiyo option ya ku upload kitambulisho cha nida ni ya lazima.....
Screenshot_20211025-075505_Chrome.jpg
 
Msaada kwa walio apply..vip kuhusu hili swala la umri..?
Hiv system inaweza kukukataa ukiwa above 30..?maana nimeona kwenye jobportal wameweka alisterik kwenye birthdate
Screenshot_20211025-082429.jpg
 
Hatuna mtetezi KABISA, cheti Cha darasa la saba ndo shida watu wengi hatuna
Cheti cha 7 ni rahisi sana sema labda kama upo mbali na uliposomea, ila hata kama upo mbali tafuta namba za walimu kwenye iyo shule yako....

Ukiwapigia unawapa details wanakutengenezea tu
 
Cheti cha 7 ni rahisi sana sema labda kama upo mbali na uliposomea, ila hata kama upo mbali tafuta namba za walimu kwenye iyo shule yako....

Ukiwapigia unawapa details wanakutengenezea tu
Kaka cheti Cha lasaba naweza chukua popote tu??? Naomba namba yako nipigie
 
Mie nimekosa cheti cha darasa la saba.
Cheti cha form 6
National service's program

Kwa kada ya investigation officer.
Daah sasa cjui itajuwaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom