Recent content by doc mas

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wachungeni watoto wa kike

    umeongea point mkuu mesej sent.
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora Nimpotezee kimya kimya

    duh! hii haijakaa poa usimtose chunguza kwanza kwani ikiwa anashida kweli utazidi kumuumiza atazidi stress.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Story za maajabu na kustaajabisha Duniani

  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani mke wangu ana wivu au mashetani?

    Hii ni kawaida kwenye ndoa, kunachotakuwa ni kubadili style yako ya maisha, rudi mapema akiona kero chelewa kurudi. Marriage is dynamic.
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

    Niwe funzo kwako na kwa wale wote walio kwenye penzi la kweli na sio maigizo, nafsi inakawaida ya kukusuta ukifanya kosa na kujielewa hili kosa, ubaya wa nafsi ukipuuza unazoea na kuzama kwenye dhambi.
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Mmh uo ushauri sidhani Kama ni sahihi, tafuta Tina nyengine sio iyo.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Harufu ya mchezo mchafu kwenye zoezi lililoanzishwa na RC Makonda

    Huyu alokwenda kujitambulisha kuwa anamtafuta baba yake kwa nini asingejitokeza mama yake mzazi na kusema katelekezwa yeye na mwanawe. Mimi nnamashaka huu ni mchezo wa kuigiza. Wacha tuone movie inakoelekea na itaisha vp.
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simwelewi huyu mwanaume

    ni vyema kukaa nae ukamuuliza mapema isijekuwa ayo yoote ni maagizo tu. ask him politely.
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya Ndoa ya Kuishi mbali na Mke/Mume

    Mmh Hakuna kitu Icho anajambo lake tu apo.
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Humu tunajifunza mini?

    Tubadilike
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi smart kichwani, hawako romantic?

    nimecheka sana hapa duh!
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi smart kichwani, hawako romantic?

    Well said, no umkute ana kazi ambayo inamfanya awe bizi mda wote, apo vumilia machungu tu hujali sana ratiba za kazini kwake kuliko zile mmejipangia, hii ni nature yao most of them not everyone
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Pole sana Kaka, apo ni kupata uhakika wa uyo mtoto hata kwa kupima vinasaba, usichukie mtoto hana kosa lolote na usishangae ukamchukia mwanao mwenyewe. Ila duh! wanawake mna siri sana.
Back
Top Bottom