Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,034
unayosema ni sahihi, lakini kinyume chake hawa wamezaliwa kwa ajili ya wanaume, watoto wa kuchunga sana ni wa kiume hawa wakijaribiwa wanakuwa irreversible
Sawa.mkuuMkuu ahsante kwa mada moja Nzuri sana sana sana sana...ujumbe nitaufanyia kazi...
Hapana mkuuWatoto wanapelekwa boarding school toka kana miaka 2 unategemea malez ya mzaz hapo?
Hii comment nimeielewa mnoAndiko nimelielewa mno
HahaHii comment nimeielewa mno
HahaHii comment nimeielewa mno
Well said mkuu
Wakizembea sasaivi baadae yatakuja makubwa
Mkuuusikute demu wako kachukuliwa na madingi wenye navyo. Mm ningekuelewa huna wivu km ungezungumzia na vijana wa kiume, tunashuhudia wakiharibiwa na kinamama kuwabebs (Serengeti boys) na mbaya hata kugeuzwa asusa huko skuli za bweni, hostel hata mitaani
Wazee, but gender ni Kiume.Well said mkuu
Lakini pia ukumbuke wengine huwa kwenye uhusiano na wazee
Na wengi huwa hawajijui kabisa,hari inatisha mkuuNakusu hilo swala la VVU wengi wao kinachowaponza nitamaa ya hela. Kama hapa mtaani nakumbuka baada ya kumaliza chuo, nina jamaa yangu alinichana live kwani , mtaa umebadilika na Kuna UKIMWI, kishenzi nilipewa list nikabaki mdomo wazi, tena wanaousambaza ni watu wazima. Kuna mabinti wawili ambao tayari washa athirika, ila huyu mmoja amenifanya roho imeniuma kwani aliishika dini tokea mdogo, sasa najiuliza alikosea wapi kutembea na huyu jamaa wa malori (jamaa mpaka sasa kishausambaza kwa mabinti wawili) , huyu mwengine yy kwao masikini akapata kazi kama house girl, baba mwenye nyumba ambaye tayari ameungua akapiga, yaani sasa hivi nikiwaangalia nawaonea huruma.
Hahaha,mkuu kwa mujibu wa mila na taratibu zetuWell said ndugu, lakini hapo mwisho uliposema kuwa ukitaka kuoa utaoa bikra je wewe bado bikra? Usikute unataka kuoa bikra ilhali wewe umeshawatoa bikra mabinti kadhaa