Kwanini wanawake wengi smart kichwani, hawako romantic?

Kwanini wanawake wengi smart kichwani, hawako romantic?

Ngoja niwaulize wapenzi wangu kama sikuwahi kuwa romantic
 
Well said, no umkute ana kazi ambayo inamfanya awe bizi mda wote, apo vumilia machungu tu hujali sana ratiba za kazini kwake kuliko zile mmejipangia, hii ni nature yao most of them not everyone
 
Back
Top Bottom