Simwelewi huyu mwanaume

Simwelewi huyu mwanaume

Ila akiongea kwenye simu anawaambia nipo na wife amefika kunitembelea na ananipa simu pia niongee nao shida kuna siku mmama akamuuliza huyo ndo mke wako akatabasamu tu hakujibu chochote
sasa kama ndoa bado we unataka kulazimisha kuitwa wife?
 
Uwe na akili ivi unapoambiwa jukwaa La elimu sio vitabu tu unapomwelimisha mtu iyo ni elimu pia.badilisha ilo neno jukwaa la elimu andika jukwaa la kujadili mambo ya darasani tu litaeleweka we vipi! Potea!
Kwa mtizamo wako basi kila jukwaa ni jukwaa la elimu. Watu hujifunza mengi Jukwaa la siasa, hujifunza mengi jukwaa la mapishi, chit chat, kilimo , ufugaji na uvuvi etc lakini ukweli huo haugeuzi thread hizo kuwa zinafaa kuwekwa jukwaa la elimu. Kuna jukwaa ambalo ni mahsusi kwa issue za mahusiano kama hii-na kule utapata mrejesho mzuri tu. Ubarikiwe.
 
Ila akiongea kwenye simu anawaambia nipo na wife amefika kunitembelea na ananipa simu pia niongee nao shida kuna siku mmama akamuuliza huyo ndo mke wako akatabasamu tu hakujibu chochote
hongera,mm naona unataka tujue tu kuwa una mume na ushatolewa mahari
 
hayo mambo yakawaida tu "" kama ameshakutolea mpka mahari ..kinacho kupagawisha nikipi sasa "" kuna watu wengine huwa hawapendi show off za mahusiano....mmoja wapo nikiwa mimi
 
Nimezaanae na bado nipo kwenye mahusiano nae hatuishi pamoja alifika kunichukua niende kwake kipindi nipo likizo lakini kule kwake akiulizwa huyo ni mke wako anakaa kimya hajibu anaweza akatabasam tu sijui shida nini
Aahhh jibu unalo
 
Usiwe na haraka utambulishwa muda muafaka ukifika
Kwani alivyokuja kukuchukua uende kwake alikuambia anaenda kukutambulisha?
 
Nimezaanae na bado nipo kwenye mahusiano nae hatuishi pamoja alifika kunichukua niende kwake kipindi nipo likizo lakini kule kwake akiulizwa huyo ni mke wako anakaa kimya hajibu anaweza akatabasam tu sijui shida nini

wewe sio mke wake, unakuja kutuuliza huku? kuzaa naye umekuwa mke?
 
Nimezaanae na bado nipo kwenye mahusiano nae hatuishi pamoja alifika kunichukua niende kwake kipindi nipo likizo lakini kule kwake akiulizwa huyo ni mke wako anakaa kimya hajibu anaweza akatabasam tu sijui shida nini
hujajua tu hadi sasaivi? hujui kusoma hata picha kuangalia hujui? what else do you need kupata ukweli?
 
Huyo anakupenda ila sema hajataka watu wa mtaani wajue kwanza , Bali watakuja kusikia ndoa tu, kozi hapo mtaani jamaa anaaminika hana msichana halafu katulia so we jiachie tu huyo ni mumeo.
 
Nimezaanae na bado nipo kwenye mahusiano nae hatuishi pamoja alifika kunichukua niende kwake kipindi nipo likizo lakini kule kwake akiulizwa huyo ni mke wako anakaa kimya hajibu anaweza akatabasam tu sijui shida nini

Yaani anacheka kimoyo moyo kwamba watu wanaanzaje kukufanisha wewe na mke wake.wewe umezaa naye tu
Yaani ni mzazi mwenzie.sasa usichomuelewa ni nini hapo.kwamba.wewe siyo mke wako. Kitendo cha kukupeleka kwao siyo ndiyo umeshaolewa.mimi nachukiaga wanawke mnaoamuaga kuzaa tu na mtu bila kujiongeza
 
Rafiki jiongeze!....Kwa maadili ya kiafrika Kama mtu hakupendi hawezi kukuambia waziwazi!
 
ni vyema kukaa nae ukamuuliza mapema isijekuwa ayo yoote ni maagizo tu. ask him politely.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom