Bora Nimpotezee kimya kimya

Bora Nimpotezee kimya kimya

Hahaaaa. Bora amsikie kwa kweli sababu hii ni zaidi ya kutaka kumuacha dada wa watu kwenye mataa.

Mie niko poa hasaa kaka. Adimu mnoo jamaani. Kwema?
Kwema dada ake, hofu kwenu!
 
Mkuu,kama mwanzoni alikua hana tabia hizo,ujue sasa hivi ana matatizo ndio maana anakuomba!

Hata kama huna ungejaribu kuzungumza naye kumuelewesha kuliko kumkimbia!

wewe umewaza kwamba hakuwa na matatizo ila ukweli ni kwamba kwa sasa hana sponsor ndo mana
 
duh! hii haijakaa poa usimtose chunguza kwanza kwani ikiwa anashida kweli utazidi kumuumiza atazidi stress.
 
Jambo dogo hilo huwezi kumwambia unataka ukimbie kimya kimya utakimbia wangapi?
 
Hapo kwenye nyekundu Mkuu. Duuh.

Hivyo bila kupewa hiyo huwezi saidia mwanamke?

Be nice to me, and I'll be nice to you, unaweza ukasema I'm cheap, manipulative (perhaps ndo nilivo) but I like to call it a fair play, mwanamke ambae ni ndugu yangu au rafiki yangu ndo naweza kumsaidia bure, ila siwezi kumsaidia bure mwanamke nlievutiwa nae, lazma kwanza anipe shimo Hajar
 
Besides, there are might be too many people who need your help and inf act they helped you too before, right???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom