Slaa, Mwakyembe watishiwa kuuawa
Na Saed Kubenea - Imechapwa 09 March 2011
Membe, Mengi, Mwandosya nao wamo
IGP: Tuna taarifa hizo, tunachunguza
Sheikh Yahaya Hussein naye ahusishwa
KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini, Dk. Willibrod Slaa ametajwa kwenye orodha ya watu wanaotishiwa...