Recent content by djmb

  1. djmb

    JamiiForums Tanzania Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

    Mwacheni, anajipaka mafuta akimaliza ndo aende kuoga. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. djmb

    JamiiForums Tanzania Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi, aleta neema Tanzania Kiuchumi, Elimu, Afya na Utalii, Kiwanda cha nyama Kujengwa

    Link hazifunguki wazee Sent using Jamii Forums mobile app
  3. djmb

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni kiongozi wa mfano, kwa Africa na Dunia nzima kwa sasa, read this!

    Tumia lugha moja kama msomi mzalendo. ACHA mchanyato, mantiki ya kimaudhui unayaharibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. djmb

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ndugu zangu wananiomba sana hela, hii imekaaje?

    Kumbuka pesa haitakuziga Bali ndugu zako, duniani tunapita tu, tenda kadri ya uwezo wako na syo kuwadhalilisha humu, unaweza Fanya, hauwezi ACHA.why kuwaanika ndugu zako wa karibu humu jf..?
  5. djmb

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Wanafunzi wengi watakosa nafasi, hasa baada ya idadi lengwa kutimia na vigezo kufikiwa katika chuo husika.suala syo kuvuruga mifumo, hapa ni kushauri na kusimamia ipasavyo, No research no right to talk, TCU came after research na matokeo yameonekana, pia imekuwa huru kwa wanafunzi kubadili vyuo...
  6. djmb

    JamiiForums Tanzania Diamond na wimbo wake

    Mie cjaupata ,alie nao urushe humu huku wadau wanauhitaji sana!!!
  7. djmb

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Mtafute Mfamasia wa Wilaya yako, ama Mganga Mkuu wa Wilaya. Ndio hao wahusika wakuu.
  8. djmb

    JamiiForums Tanzania PICHA ZINATISHA: Uzembe wa 'Traffic' wasababisha mauti kwa mwendesha bodaboda

    Kamhoji marehemu mortuary HayO maswali yako.
  9. djmb

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

    Kukurupuka kwa kumtaja Gwajima mtumiaji wa madawa ya kulevya bila proof ya kisheria yenyewe unaibariki..? Pilipili usiyoila yakuwasha nini, ngoma mwachie mwenyenayo aicheze..!!
  10. djmb

    JamiiForums Tanzania Madudu TCU, Ndalichako achia ngazi

    Unamtindio wa Ubongo, nenda ukapimwe.
  11. djmb

    JamiiForums Tanzania Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    Mtanzania, ukiulizwa, Serikali yako vinafuata dira gani ya maendeleo, na kinachofuatia baada ya hatua tuliyo nayo ni kipi, Utataja jambo gani
  12. djmb

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani kuwafanyisha tena mitihani kidato cha kwanza watakaofeli kutoswa

    Wanamchuuja mtoto wa Mlala hoi ambaye baada ya masomo alianza kuuza Katanga ili kukabiliana na hali ngumu ya maisha, Leo wanampelekea mtihani wa mchujo, wakati huo watoto wao walishaanza kusoma pre-form one, laaaa, the world is not fair..!!
  13. djmb

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaohitaji kununua magari - tukutane hapa

    Kama mtu mwenyewe hajibu, si bora usingetangaza biashara yako kuliko kupoteza muda wa wanaume.
  14. djmb

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa wilaya ya Singida, Dr. Erick Bakuza aachia ngazi

    Haufai kuwa humu, nahisi haujawahi kusomesha hata mdogo wako, TAFAKARI.
  15. djmb

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Afrika wameshindwa kujitawala na wanapaswa kutawaliwa tena kwa miaka mingine 100

    Wapi faru John..? Aliye na taarifa anijuze.
Back
Top Bottom