Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi, aleta neema Tanzania Kiuchumi, Elimu, Afya na Utalii, Kiwanda cha nyama Kujengwa

Mapokezi mazuri, Hopeful watakuwa na mazungumzo mazuri. Vizuri sana Viongozi wa Nchi mbili kubwa sana wanakutana na kuongea.

Huyu President Sisi hana ujinga, yeye anaheshimu nchi zote za Africa, Siyo Kama Morsi na Mubarak. Things will get better under his leadership, relationship between many African countries and Egypt will improve.
Mbona kimya kimya

Au kaja kupiga Biti maji ya Ziwa Victoria baada ya Waziri mkuu wa Ethiopia Kumtangulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuitumie fursa hii kumtaka Rais wa Misr atupatie wataalamu wa kilimo cha umwagiliaji kutoka Misr.

Misr wana mto mmoja tu wa maana, Nile, na wana uhaba wa mvua na maji kulinganisha na hapa kwetu lakini wanalima kwa kumwagilia kutumia mto huo chakula cha kuwatosha wao wenyewe na kuuza nje.

Amazing.
 
Aliombwa na Rais Magufuli Misri kuja kuwekeza Tz viwanda vya kutengeneza dawa, kilimo matunda na viwanda vya bidhaa za kilimo mfano juice. Pia mashirikiano ya ulinzi. Majadiliano pia ya mto Nile na chanzo chake lake victoria.
 
What are those other; if I may know?

Well, things like Nile Basin agreement, improving cooperation, peace and prosperity of Africa, especially in countries like Libya, Somalia, Burundi, Chad, Mali and Mauritania. These are two extremely important countries in Africa (Tanzania and Egypt).
 
Back
Top Bottom