Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Naungana na ww kwamba serikali isingeweza kutumia njia ya kijinga kiasi kile..

Hata kama ingetumia njia ya risasi lakn sio kwa risasi zilizotumika
Hiyo ilikuwa poor mission kutumia risasi 32

Huyo aliyempiga risasi T L anaajenda yake tu halafu hana mafunzo sahihi ya matumizi ya silaha..

Hapo kuna mambo matatu tu, visa vya ndani ya chama chake, au tumbua tumbua ya magufuli imewagusa wengi wameamua kuichafua serikali kwa kutaka kumuua T L kwa kuwa ndiye anaonekana mwiba kwa serikali,

Au kwakuwa ni mwanasheria nguli yawezekana wale aliowachomoa ktk kesi wale waliotendewa kweli wameamua kurevenge...

Ni mtazamo tu
 
Eti mods wanaacha uzi wa kijinga na kipuuzi kama huu.

mleta mada hajitambui na sio bure amekatika utii wa mgongo
 
Katika hili la Lissu kila mtu atajidai anaweza kuchambua masuala ya ulinzi, pia ni mpelelezi..

Upelelezi mzito.. 😀😀😀😀😀

Wengine ni bora mlale tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...

Kwanini unajitahidi kuchanganya maneno ya kingereza ambayo hata hujui kuyaandika. Pili wewe unaonekana ni kijana wa taasisi nyeti lakini mwenye akili ya chini kabisa kama yule aliyemtolea nape bastora
 
Hili tukio ni la kusikitisha sana kwa mwanasiasa kunusurika kumalizwa kwa mtutu....ila pia limeanza kuleta sura mpya ya kikampeni maalum kwa majeruh bila kuhalalishwa na uongozi wa chama(maana walishakuwa na mgombea 2015 na 2020).
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Hujasema la maana zaidi umetueleza kuwa kumbe kuna watu wanamalizwa na serkali ambayo iliapa kuwalinda more confusion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo sentensi ya mwisho imefanya nikuone nyani mtu
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Maku

Mnataka mtukamatie wacheza cinema? Mbona mnaangaika hv. Semeni target ziligoma

RISASI ZA NINI TENA JAMANI!
 
Waliompiga risasi TL wametumia style ya kagame wa RWanda na kama unakumbukumbu nzuri hao wataalamu wa kuua kwa risasi wameletwa kwetu kama msaada katika ileeeee package ya wataalamu wa IT mkuu aliopewa na rafiki yake kipenzi TOLL paulo.
SHOW ME YOU FRIRNDS I CAN TELL YOU WHO YOU ARE....MR PRESDAA SHOWED US KAGAME AND WE ARE TELLING WHO MR PRESDAAA IS...a killerrrrrrrr.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
2c44aa8e9c8eb100f6650561566fe50c.jpg
Uzi wa mabange na mapuli [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app

Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Pole sana. Upelelezi au sijui utafiti huo, hata watoto wa chekechea watazimia kwa kucheka. Mbinu hizo ni za kizamani kuliko hata vita kuu ya pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tumesema kapigwa na watu wasiojulikana sasa hii ya watu wa system umesema wewe
 
Kombe Aliyekuwa Mkuu Wa Usalama wa Taifa aliuwawa kwa Njia zipi?
 
Back
Top Bottom