Recent content by dizzo11

  1. dizzo11

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Walianza kufuta udambwi udambwi! wana tumeanza libeneke upyaaah..Mara Paap! hamad! togwa limeingia inzi, Paka Shume lilikotokea ati anadai hajui shida?? lo salaleeeh, hivi kuna kiumbe hajui shida? "hata kufatilia nyuzi za watu nayo ni shida pia" .wana tuendeleze libeneke na maudambwi udambwi kwa...
  2. dizzo11

    JamiiForums Tanzania Magufuli, agenda yako ya kwanza iwe kuunganisha watanzania

    hapa nyumbani kwetu wapangaji wamenuniana kisa siasa,kukicha vijembe,mipasho mpaka imekuwa bonge la soo..jana baada ya magufuli kutangazwa mshindi kuna mama aliweka ule wimbo wa ccm mbele kwa mbele weee!...bro na mimi 2po UKAWA basi kwa hasira bro kazima umeme nyumba nzima na katia mkwara ole...
  3. dizzo11

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    rip jamaa alikuwa smart sana.
  4. dizzo11

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    sitampigia kura yoyote si ukawa wala ccm..nimeridhika na maneno ya Dr Slaa
  5. dizzo11

    JamiiForums Tanzania Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    babu mpe hi! cambiasso mwambie mwanao dizzo anasema vp ule mpango wa nauli coz nishakinai vumbi na dharau kibao toka kwa akina mwajuma ndalandefu..
  6. dizzo11

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    mapenzi ulaya,afrika biashara
  7. dizzo11

    JamiiForums Tanzania Wabongo kwa misemo mimi hoi

    duuu...asanteeeeh
  8. dizzo11

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    amini huku rvp,huku rooney,apo kati sasa mtoto angel a.k.a malaika cjui wale chekechea wa wenger watatokea wap
  9. dizzo11

    JamiiForums Tanzania Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

    thubutuu
  10. dizzo11

    JamiiForums Tanzania Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

    kabisaaaa!
  11. dizzo11

    JamiiForums Tanzania 2Pac Shakur - Hip hop giant legacy thread

    gheto gospel,huwa inanipeleka far away
  12. dizzo11

    JamiiForums Tanzania Warembo wa kinyarwanda Vs wa kichaga wapi wanakimbiza?

    mkuu ni sawa na kulinganisha Mrisho Ngasa Na Christiano Ronaldo hao wachaga wako mbele ya watoto wa kagame wataonekana wanaume tuu
  13. dizzo11

    JamiiForums Tanzania Methali za makabila mbali mbali

    ngoja ni boost wa kunyumba,"mpinji si mhomi"mweka kisasi huishia pabaya
  14. dizzo11

    JamiiForums Tanzania Ugali ni chakula cha kimasikini

    sio bure!
Back
Top Bottom