Warembo wa kinyarwanda Vs wa kichaga wapi wanakimbiza?

Warembo wa kinyarwanda Vs wa kichaga wapi wanakimbiza?

watani wangu kina kekuu....manka mushiii....wanamili sambusha.juu wakubwa chini miguu ka penseli.ila wanavisura vya kibebi.pale marangu wengi weupe afu wana miguu ya haja ila finga mmmh utata
 
nitapata tu, nilichaanganya madesa kwa ubongo.

kwani mabinti wa kichaga wanazo sana?

mimi nafata urembo wao

mkuu ni sawa na kulinganisha Mrisho Ngasa Na Christiano Ronaldo hao wachaga wako mbele ya watoto wa kagame wataonekana wanaume tuu
 
Back
Top Bottom