Recent content by Dindai

  1. Dindai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabora

    Vipi pana vibe au napo pamepoaaa kama hapa O2
  2. Dindai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabora

    Nipo hapa O2 hamna ishu pamepoaaa
  3. Dindai

    JamiiForums Tanzania Mfumo huu wa utengenezaji wa shimo la choo una changamoto/faida gani?

    Ninalo. Mwaka wa pili huu sijaona Tatizo
  4. Dindai

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ya Chuo Kikuu cha Kampala (Gongolamboto) inaelekea kuwa maghofu

    Mtoa mada ni mjinga tu. Kila kitu wanalalamikia serikali
  5. Dindai

    JamiiForums Tanzania Safari ya miaka 9 tangu kuacha kazi. Hamasa kwa vijana wenye maono makubwa

    Inshort ni kwamba tangu aache kazi miaka tisa iliyopita ili ajiajiri bado hajatoboa. Bado anajitafuta, kapigika vibaya mno lakini bado ana matumaini!
  6. Dindai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiangalia channel ya Travelxp unaweza kutamani kwenda Kila mahali duniani

    Chanel namba ngapi
  7. Dindai

    JamiiForums Tanzania Mnaoagiza magari nje mnapata wapi dola?

    Duh mwaka Jana nakumbuka nimeenda NMB walikuwa wanauza mwisho dollars 3,000 kwa siku. Sasa hivi imeadimika hadi kufikia kuuza dola 100 tu kwa siku? Kweli hali ni mbaya. Nilikuwa nanunua gari sbt japan ya dola 8,000 niliwasiliana nao kuhusu uhaba wa dola wakakubali niwalipe kwa siku tatu...
  8. Dindai

    JamiiForums Tanzania Tupia picha ya mjengo wa chini uliyowahi kukuvutia

    Sasa kwenye hako kakibanda umevutiwa na nini?
  9. Dindai

    JamiiForums Tanzania Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

    Sparrow wanakiti moto tamu sana Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
  10. Dindai

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kigoma Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
  11. Dindai

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Sawa ki bibi kizee
  12. Dindai

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Mabati ya Taishan, Kinglion na Sunbank

    Miaka mitatu bado boma halijasogea hata kuweka grills tu. Aisee mkuu Komaa kutafuta hela! Miaka mitatu ni mingi mno!
  13. Dindai

    JamiiForums Tanzania Bodaboda hawana Haki

    Baba mogani siku ukiendesha gari ndio utajuwa hawa jamaa ni washenzi kiasi gani. Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
  14. Dindai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezo wa El- Mererkh VS Young African Kuchezwa Rwanda

    Kwa nauli tu laki inatosha. Geita to Rusumo 20K RUSUMO TO KIGALI 7K RWF 2.2 TZS = 1 RWAF Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
  15. Dindai

    JamiiForums Tanzania Kudrive umbali mrefu

    Shangazi amefariki? Lini tena? Nina miaka kadhaa sijapita kwa Shangazi Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom