Mchezo wa El- Mererkh VS Young African Kuchezwa Rwanda

Mchezo wa El- Mererkh VS Young African Kuchezwa Rwanda

Viongozi wa Yanga wachukue tahadhari zote, Awa jamaa wanambinu nyingi nje ya uwanja.

Ukiacha maranyingi wanakwenda makundi kwakua wanatimu nzuri ila wana michezo mingi nje ya uwanja.

NOTE: Timu ya Yanga inao uwezo wa kuwatoa ao wasudani na wao wanajua Yanga wako vizuri, watakacho fanya wata hakikisha wanawakamata marefa wa mchezo kwakua wapo ugenini na hawana pa kushika zaidi ya eneo ilo muhimu.


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Unasemaaa?
Acha masikhara mkuu mbona cheap sana,kwahiyo nikiwa na 1m ni full bata!
Kwani pesa yao thamani yake ipoje ukilinganisha na madafu yetu!?
1m kubwa sana mkuu utakula bata mpaka uchoke! Chenji Yao Yao ni kama 1 RWF kwa 2.20 TAS
 
Mwaka jana huo uchovu iliamua kuachana nao kabisa, watu wakawa wanapigwa mbele ya mashabiki wao! Unakumbuka mechi ya USM Algiers? Mziki ulipigwa pale pale nyumbani kwao pamoja na kuwasha mioto yao!
Ni kweli mkuu. I mean icheze bila mashabiki wao wa dar. Ikichezea ugenini,hata iwe mbele ya mashabiki wengi ugenini,inapiga mpira sana. Au niseme utafuhi ngoma ya Yanga ipigwe isiwe dar
 
Back
Top Bottom