Recent content by diesel engine

  1. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hhhhh
  2. D

    JamiiForums Tanzania Power tiller special thread

    MI nataka used na ni Sh ngapi?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Power tiller special thread

    Pawa tilla used naweza Pata
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mashindano Ya Miss Jamii Forums. Hakika ni warembo

    Bi faiza fox mbona simwoni kwenye list
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hizi ni bei za kweli kwa haya matrekta au ni utapeli

    Kweli kabisa...... haiwezekani trekta likawa dola 1000
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hizi ni bei za kweli kwa haya matrekta au ni utapeli

    Nimeingia Leo alibaba nimeshangaa Sana kuona trekta yanauzwa bei ndogo Sana je hizi ni bei zake au Kuna kitu kingine kinaendelea,, mwenye uzoefu pls anijuze.... Nimeambatanisha na picha
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

    1. toyota megacruiser 2. Humvee old model. 3. Dodge ram 576s. 4. Range Rover hse
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: TV yangu haioneshi picha ila inatoa sauti

    Msaada kidogo ndugu tv yangu tokea jana haioneshi picha ila inatoa sauti inaweza kua ni tatizo gani? Nimejaribu kugusa gusa nyaya lakini wapi. Msaada pls
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri ajira baada ya kumaliza chuo. Simulia nawe unahangaika vipi mwenzangu ...tu-share maarifa

    Pole mi mi nimegraduate toka2010 mpaka leo hii niponipo tu hata sioni future
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania wabadilike

    Mi nna degree ya kiswahili ntaanza kufundisha sarufi Facebook
  11. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

    Corona hiyo imeshafyeka
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu oil kuchanganyikana kwenye clutch assembly katika Trekta

    Msaada. Nina Tractor yangu kwa jina inaitwa Iseki ni ya Kijapani. Kuna kosa nilifanya oil ikaingia kwenye clutch assembly sasa nauliza je naweza safisha pressure plate au ndo ishakufa hivyo? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Msaada. Nina tractor yangu kwa jina inaitwa iseki ni ya kijapani. Kuna kosa nilifanya oil ikaingia kwenye clutch assembly sasa nauliza je naweza safisha pressure plate au ndo ishakufa hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom