Hizi ni bei za kweli kwa haya matrekta au ni utapeli

diesel engine

Member
Mar 10, 2020
16
32
Nimeingia Leo alibaba nimeshangaa Sana kuona trekta yanauzwa bei ndogo Sana je hizi ni bei zake au Kuna kitu kingine kinaendelea,, mwenye uzoefu pls anijuze.... Nimeambatanisha na picha
Screenshot_20200906-161722.jpeg
Screenshot_20200906-161647.jpeg
 
Bei ni hizo hizo mzee, ishu ni kwamba pale hununui trekta moja. Alibaba wanakuconect direct na muuzaji mnachat kabisa mnaelewana. Ila hawauzi moja yatakiwa uchukue set nadhani kuanzia 10
 
Nimeingia Leo alibaba nimeshangaa Sana kuona trekta yanauzwa bei ndogo Sana je hizi ni bei zake au Kuna kitu kingine kinaendelea
Sio bei halisi.

Bei halisi utaipata baada ya kuwasiliana na muuzaji.

Utapewa gharama ya Trekta na gharama ya kusafirisha hadi nchini.

Hivyo kwa alibaba bidhaa zote bei walizoweka sio halisi, Pia inatakiw aufahamu bei itatokana na kiasi cha mzigo utakachochukua, wamekuandikia hapo MOQ ( Mininum Order Quantity )
- Atakaye nunua trekta moja bei yake itakuwa ni tofauti na yule aliyechukua matrekta 50
 
Sasa kwann hawaandiki bei halisi?? Ina maana gani sasa kuweka bei tofauti na bidhaa yenyewe inavyouzwa?

Back
Top Bottom