mapacha madaktari
Member
- May 23, 2020
- 34
- 35
Wakuu nakuja mbele yenu,
NIMEKATA tamaa maisha haya na sina la kufanya. Zaman niliambiwa nisome sana ntakuwa na kazi nzuri na pia ntakuwa na pesa sana hivyo nilijitahidi kusoma kadri niwezavyo na nikamaliza chuo st Agustin mwaka 2016...nikiwa faculty ya education.
Hadi sasa nimejaribu kusubiri ajira za serikalini nimechoka sina la kufanya nimeomba kujitolea mshahara elf 6 ....ninatia huruma na degree yangu.