Recent content by Dido

  1. D

    If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

    Na kwa ulimwengu tunaoishi Leo hilo nifunzo kubwa sana, maana chanzo kikubwa cha matatizo ya wanawake, ambayo huwa na spill-over effect hadi kwa watoto, huanzia kwenye kuwaamini sana wanaume.
  2. D

    Mtoto aliyekataliwa na baba yake

    Hongera kwa kumchukua huyo mtoto. Huyo kaka yako asikutishe wala nini, kwani ukiamua kuchukua orphan ukamlea yeye inamhusu nini? huyo kaka yako anahaha kwa kuwa anajua huyo mtoto anamhusu. Na ili asukusumbue mwambia wewe unamsaidia yule binti mwenye mtoto kwa kuwa unamfahamu na mliishi naye...
  3. D

    vibaka wa ndoa

    hii chungu lakini dawa (by @Lara1) wanawake tulioolewa sijui kwa nini hili somo huwa tunaliona gumu kulielewa. Ndoa ni yangu mimi na mume wangu, kazi ya kuilinda ni yangu mimi na mume wangu na si ya mtu mwingine. Sasa mume kazi ya ulinzi wa ndoa imemshinda anatanga nje kutafuta vibinti, mie...
  4. D

    Wanaume tutalijibu hili siku ikifika . . .!!

    asante kwa kuwakilisha maoni yangu kwa njia ya utulivu na amani, mie nilishafura hapa ningeandika ningekula ban. Baelezee baelewe.
  5. D

    Lecturer part 2

    Hongera sana miss strong, mabinti wote wangekuwa kama wewe, hawa malecturer makanjanja wanaodhani kila mwanafunzi wa kike hana ubongo ila anatumia chini kupata degree wangeisha. Usikate tamaa mpenzi tupo pamoja nawe.
  6. D

    Domestic violence

    hakuna jamii thabiti inayojengwa na mfumo kandamizi. Familia ndio msingi wa jamii na kama familia imesimama kwenye msingi wa domestic violence, jamii yako ina msingi mbovu na kuna siku itasambaratika tu. Na dalili mojawapo ya kusambaratika ni huu ubinafsi uliokithiri ambao karibu kila mtu anao...
  7. D

    nahtaji ushahuri

    hili nalo neno. Tatizo mabinti wengine wagumu sana kusoma alama za nyakati.
  8. D

    Mchumba kama huyu headache sana

    duh nimepata faraja kidogo Kumbe kuja wenye waume kama niliye naye mimi.
  9. D

    mume wa mtu

    ha ha haaaaaa, kweli hii chungu ila ndio dawa kama ulivyosema. Tulioolewa tujitafakari. Mbona kazi IPO!
  10. D

    mume wa mtu

    @lara1 na ayanda nawapenda sana. Natamani ningewajua nje ya jf. Mnayaangalia maisha kiuhalisia, jinsi yalivyo na sio jinsi yanavyotakiwa kuwa. Totoz ushauri ndio huu, kazi kwako.
  11. D

    Kwa nini wake za watu (majority) hamuwezi kukituliza

    call me whatever you want ukweli utabakia kuwa huo. Sijasema wanawake wote wala wanaume wote, nimesema wengi. Nyie ndio hamtakagi kuujua ukweli kwa sababu unawatisha. Ila usipolijua tatizo na chimbuko lake utalitafutiaje ufumbuzi? Utaendelea tu kutibu dalili wakati ugonjwa uko palepale.Mleta...
  12. D

    Kwa nini wake za watu (majority) hamuwezi kukituliza

    Yaani ayanda nakuzimikia ile mbaya, upo ktk real world hauna kupretend wala kupaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa. Nakubaliana na hoja zako ktk hili suala kwa asilimia Mia moja. Watu wanafumba macho na kujifanya reality hawaijui, hiyo unayoelezea wewe ndio reality, basi tu. Asante kwa kuwa...
  13. D

    Mume wangu anacheat nifanyeje?

    This is a very realistic approach for anyone who wants to lead a stress free life.
Back
Top Bottom