ni bahati nzuri mwenye mali halali hayuko humu ila isiwe sababu, sababu za mwizi siku hizi zimepungua ni siku 15 tu kwisha.siyo 40 tena.
Halooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO!
Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi.
Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100%
Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.
NOT ALWAYS THE CASE!!!!!!!!!!!!!
Kuna watu waliwapenda watu kutoana na maisha wakaolewa na wengine nao wakaoa ilimradi tu, not in the name of love.
Kama anampenda mkewe kwa huyu student kagandia nini na gari katoa? Ukute mkewe anatumia TZ 11
Mkewe ndo hapendwi anatumiwa tu, sema its so sad for him kumbwaga after what they have been through ndo maana kajiweka kwa student. That isnt love bt Pity! He loves the student and pity the wife so inabidi aendelee kuwa na wote (Chungu lakini dawa)
Afterall moyo wa mtu ni kiza kinene! Neither the student nor the wife anaeweza kuwa na uhakika anapendwa yeye na hatumiki. All is possible!
IM JST SAYIN PEOPLE ITS NOT THAT KUWA NAUNGA MKONO UCHUKUAJI WA WAUME ZA WATU!
Wasiliana na mwalimu katlego.atakupa experience yake ya kuzaa na mme wa mtunifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
Hapo Lara 1,sidhani kama utakuwa upo sawa kusemakuwa mkewe ndo anatumiwa,
Hivi jamani, kununuliwa gari na kusomeshwa chuo ndo vigezo vya kupendwa jamani,
mbona watu wengi tu wanayafanya hayo lakini si kwa kukupenda ila kujihalalishia kukutumia pasipo bugudha....
Shtuka lara 1......usidanganyike kwa kila unachokiona/ulichozoea
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
nachukia sn watu wanaojua mtu ana mke na kuolewa mke wa 2 haiwezekani, wao wanaendelea kung'ang'ania tuuu. Nashindwa nishauri nn.:shut-mouth:
Halooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO!
Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi.
Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100%
Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.
Halooooooooooo! Mwenzio niko digitali! Kwa hio kuzalishwa, na kuwahi nyumbani saa kumi kuwasha mkaa na kubandika maharage, ulinde na nyumba hadi saa tano kidume kiko na kichuna cha haja student wanakula kuku kwa mrija soda kwa umma Kempisky! NANI ANAPEDWA HAPO?
I count my blessing now now not in the future.
Hujui uliandikalo